usemaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

    Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!! Aliyepewa kapewa. Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli. --- Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
  2. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe acha Kuhangaika kukua katika Usemaji kwa Kuichafua Simba SC

    Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7. Tunaokujua ndani nje ( hasa GENTAMYCINE kwakuwa tuko katika Tasnia Moja ) tunatambua kuwa Rafiki yako...
  3. kavulata

    Vyuo anzisheni kozi fupi za usemaji wa club ya mpira

    Mpira una wadau wengi wa aina tofautitofauti wenye umri, jinsia, uchumi, kada za siasa, utumishi na hadhi mbalimbali. Kwenye upira wamo hata marais wa nchi. Unapokuwa kiongozi wa timu ya mpira ujue kuwa unaongoza treni yenye mabehewa yaliyobeba wato mbalimbali. Msemaji wa timu huwezi kuongea au...
  4. Sodoku

    Ahmed Ally bado ana Utoto, Usemaji wa Kipuuzi ambao si Level ya Simba

    Binafsi naona msemaji aliyekuwa smart alikuwa Ezekiel Kamwaga. Huyu alikuwa professional hasa. Anajielewa na anaelewa Taaluma yake na hadhi ya Club aliyokuwa anaisemea.. Ahmed Ally nlitegemea angekuwa na cha kujifunza katika hilo. Kuwa msemaji wa kisasa mwenye weledi. Ameeenda kuangukia kwenye...
  5. N

    YANGA , MANARA NI WASHINDI, KUENDELEA NA KAZI YA USEMAJI KAMA P.R.O CONSULTANT

    Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo hatakuwa MC si mmeona kashika mic kama MC wa kukodiwa wa kujitegemea? Yaani ulitarajia viongozi...
  6. Miss Zomboko

    Steve Nyerere ajiuzulu nafasi ya Usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania

    Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT). Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
  7. sky soldier

    Hongereni Wasanii kwa kujitambua: Wasanii watoa siku 2 kwa mchekeshaji Steve Nyerere kuondolewa nafasi ya usemaji wa wanamuziki

    wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli, Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ? ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na...
  8. K

    TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
  9. N

    Dkt. Hassan Abbas aliwahi kusema kuwa usemaji siyo kuropoka, bali ni taaluma

    Hili dongo lilikuja baada ya lopolopo kutoa onyo mashabiki wa utopolo wasikanyage uwanjani siku ya mechi ya kimataifa ya simba, Picha likaanza tu simba walitoa statement KUSIKITISHWA NA UROPOKAJI HUO na msemaji wa serikali kipindi hiko Dr Abass akashushia msumari wa moto. Lopolopo kama kawaida...
  10. lodirofaa

    Ukweli Kuhusu usemaji wa Haji Manara

    Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu waulize wanamjua msemaji wa timu yao? Sizani Kama Kuna anaemjua kma wapo wachache LAKINI timu haifanikiwi...
Back
Top Bottom