Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata...
Greetings from this part of Tanzania !.
Chawaism has been a political mockery used by opposition politicians against those who offer their support either to the rulling party CCM, or directly to the political approaches of her Excellency President Samia.
Genuinely speaking, there is nothing...
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera ameshiriki Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) la Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera.
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Ametoa Shilingi Milioni 5 (5,000,000) kwaajili ya Kununua Simu za...
Uchunguzi uanzie ndani ya UVCCM hasa kwa utekaji wa viongozi wa kisiasa kutoka vyama pinzani na pia ikiwezekana kiongozi wa UVCCM mkoa wa Kagera akamatwe na kuhojiwa.
Kama Nape Nnauye aliondolewa kwa kusema ukweli kuhusu matokeo ya uchaguzi na wanavyoshinda akatumbuliwa.
Je UVCCM na kupitia...
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.
PIA SOMA
- Angekuwa...
Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Simon Maximilian ametoa simu wilaya zote za Mkoa huo kwaajili kusajili wanachama wapya wa CCM.
Amesema hizo zote ni jitihada za kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone)...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa Manispaa ya Songea Mjini wawe waadilifu katika utekelezaji wa majukumu ya Chama na maelekezo ya viongozi ili kukiendeleza Chama...
Kwa wale wataalamu wa body language na video analysts.
Kwa namna UVCCM inavyotamkwa na muonekana wa uso na matamshi yanayotamkwa vinatia shaka sana kama ni maamuzi ya Ahmed.
Pia soma: Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli
Tusifike huku...
Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote...
---
Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya:
Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na...
Leo UVCCM hawajuhi mbegu ambazo wanapanda zitakuja kuwagarimu baadae?
Leo UVCCM hawajuhi miaka inayoenda au miaka ya mbele vijana wanaenda badilika?
Je uovu, mateso ya watanzania hawayaoni, siku wakija omba uongozi ikiwemo ubunge, udiwani, je wakiambiwa mlikuwa mnatetea wala rushwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameongoza kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa tarehe 05 Julai, 2024 Ofisi Ndogo za Makao Makuu Upanga Jijini Dar es salaam.
#TunaendeleaNaMama
#Kaziiendelee...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Saklaam
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetembelea maeneo ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam uliofanywa na kampuni ya DP World na kusema uwekezaji huo umeleta mabadiliko makubwa ya kiutendaji na ufanisi mkubwa bandarini hapo kwa maendeleo na...
🛑ZIARA YA UVCCM SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC)
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiongoza Mwenyekiti Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamefika kituo Cha reli ya kisasa (SGR) cha Dar es salaam na kupokelewa na Mkurugenzi wa shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa...
Matukio yote ambayo Vijana wanatekwa hasa Wenye mlengo wa kukosoa serikali, UVCCM haijawahi kutoa tamko la kukemea hata kinafiki tu. Tukio la karibuni zaidi ni la kijana Edgar Mwakabela @SATIVA ambaye alitekwa Dar na kutupwa Katavi baada ya kupigwa risasi ya kichwa lakini Mungu mkubwa ikamvunja...
Hapa Tanzania kuna watu wamefanya siasa kwa miaka mingi hasa kupitia vyama vya Upinzani.
Kiukweli kufanya siasa za upinzani Tanzania na maeneo mengine kama Afrika sio kazi rahisi
Hata Hivyo pamoja na changamoto hizo bado Vijana wa Upinzani wanaonekana kuwa bora na wanafaa ktk ngazi mbali mbali...
Ni mlolongo wa viongozi wa Umoja wa Vijana CCM, tangu HERI JAMES Hadi Mohamed Kawaida, kuanzia viongozi wa Vijana mikoa Hadi ngazi ya Kata kote ni majigambo na vitisho vya kupoteza maisha ya wanaopinga Chama Chao au kuwaharibia Biashara zào wanaokataa kusapoti Chama Chao kifedha.
Kutokana na...
Kumekuwa na kipindi wanafunzi wanapoomba mikopo ya elimu ya juu, mara nyingi wanaenda ofisi ya umoja wa vijana wana apply. Ninachojiuliza UVCCM ni mawakala wa bodi ya mikopo? wengi wao wamesema imekuwa rahisi kupata mikopo kupitia ofisi za umoja huo. Kwa style hiyo vijana wengine wanaweza kukosa...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo.
Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.