Wana JF , Heshima kwenu!!
Moja kwa moja kwenye mada,
Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha Novemba, 2020 hadi Februari, 2025, Serikali ilitumia shilingi trilioni 1.49 kununua ndege saba ambapo ndege sita ni za abiria na ndege moja ni ya mizigo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
"Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026
"Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
Wanabodi heshima kwenu.
Mh waziri Mkuu Mjomba, unabakiza miezi michache kabla kumaliza karibia miaka 10 ya uwaziri wako mkuu.
Leo hii uaweza kutembea kifua mbele kwa lipi ulilowafanyia watu wa kusini??
Katika National level hakuna ubishi hamna jambo la pekee ambalo watu wanaweza liona, na ndio...
Wakuu,
Akiwa anaongea kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA Waziri wa mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa ameona mjadala unaoendelea nchini kuhusu VETA na amedokeza kuwa mjadala huo una tija sana kwa taifa.
"Mjadala huu haupiti tu hovyo na mimi nimehushuhudia na naufatilia kwa ukaribu. Hakika...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa kwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Kauli mbiu ya 'Kitabu Kimoja Mwanafunzi Mmoja' itasaidia kukuza usawa kwa kupunguza pengo baina ya familia zenye uwezo na ambazo hazina uwezo.
Ameyasema hayo...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi.
Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa March 06, 2025 amegawa mitungi ya gesi kwa zaidi ya wanawake 3000 ili kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais za matumizi ya nishati safi na utunzaji wa Mazingira.
Mitungi hiyo imeuzwa kwa bei ya ruzuku ya Shilingi...
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea.
Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo.
Aidha amesema kuwa shule...
Wakuu
Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa
==
Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?
Kijana mmoja maarufu kama Costa Boy, kutoka Kigoma ameibua...
Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda
===
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa, ameongeza miezi mitano ya ukomo wa matumizi ya nishati chafu iliyokuwa ikamilike Desemba mwaka jana, kwa Taasisi zinazohudumia watu zaidi ya mia moja kutumia nishati safi ili kuepukana na changamoto ya ukataji wa miti...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea kiuchumi.
Majaliwa ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo February 06,2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbozi...
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA RASMI TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi tuzo za uhifadhi na utalii na kusisitiza kuwa Serikali itendelea kubuni mikakati ya kuimarisha sekta ya Maliasili na Utalii kwa kuwa sekta hiyo ni nguzo muhimu ya uchumi wa Taifa...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema michango ya wadau waliojitolea kwenye tukio la maporomoko ya tope ilikidhi mahitaji ya kujenga nyumba zote za wahitaji 109 za waathirika wa maporomoko hayo ambayo yalipelekea vifo vya watu 89.
Nyumba hizo ambazo zimejengwa na Serikali ya Awamu ya Sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.