A wilayah (Arabic: ولاية, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.
Sisi watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea tunapitia kipindi kigumu kutokana na kucheleweshwa kwa stahiki zetu mbalimbali, hususan malipo ya posho za kuhudhuria vikao. Tatizo kubwa linalolalamikiwa ni kwamba Mkurugenzi wa Fedha (DT) amekuwa hapitishi malipo hayo kwa wakati.
Kuna...
Anonymous
Thread
forum
habari
halmashauri
jamii
jamii forum
nachingwea
watumishi
wilaya
Kero yangu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal, nimeomba kusajili kikundi tangu mwezi Januari 27, 2026 hadi leo kikundi akijapitishwa na kupatiwa na namba ya usajili ili tufungue account.
Nimemfata Kiongozi wa Maendeleo ya...
Anonymous
Thread
jamii
januari
maafisa
maendeleo
maendeleo ya jamii
mtama
wilaya
Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
Anonymous (b466)
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
malalamiko
mkalama
mpya
mwanza
singida
wilayawilaya ya mkalama
Habari za wakati huu.
Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo.
Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule
heka 1 kina fensi pande 3 kimepakana na barabaran kubwa za mtaa pande 3 piga 0718 408 733
hati ya serikali za mtaa
mauziano kwa mwanasheria na ngazi zozote utazotaka za kiserikari nyaraka zipo kiwanja sio cha urithi
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati kuhusu mradi wa maji uliotekelezwa katika Kijiji cha Losikito, Kata ya Mwandeti, Wilaya ya Arusha DC, ambao ulitengewa bajeti ya takribani Shilingi bilioni 2.5.
Kwa mujibu wa taarifa za wananchi, mradi huo ulikamilika mwaka jana kwa gharama zinazokadiriwa...
Mimi nipo Wilaya ya Ruangwa.
Miradi mingi iliyozinduliwa na mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa.
Mfano ni kituo cha afya Chienjere na Shule ya Sekondari Namakuku. Miundombinu hii imetelekezwa na Wazabuni na kwa kuwa ipo pembezoni mwa mji inakuwa ngumu kufuatiliwa na kuonwa na viongozi...
Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo.
Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni
Sehemu kubwa ya misitu ya...
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho.
Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana kwa kama wiki nzima huku dawa nilizopewa hospitali kutosaidia kit.
Tukiwa kitandani shemu wenu...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituo
vituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu.
Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
huduma
kupata
majukumu
ofisini
shinyanga
wilaya
ELIMU: Elimu ya Msingi
NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C
KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana.
KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni)
MAWASILIANO: 📞 0620282169...
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE.
Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu.
Tumekuwa tukifatilia...
Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021.
Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano.
Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu za kulipwa mshahara huo lakini hakuna majibu yoyote ya kuridhisha.
Anonymous
Thread
halmashauri
juni
kwanza
mishahara
mwaka
mwaka 2021
naomba
siha
watumishi
wilaya
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
Pia soma:
~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki
~ Halmashauri...
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa.
Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
kibali
korogwe
uhamisho
vijijini
watumishi
wilaya
Mimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo:
1. Malipo ya fedha za likizo. Watumishi hulipwa kwa kuchelewa mno na mara nyingi hulipwa kiasi kidogo ukilinganisha na kiasi...
Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
Anonymous (6687)
Thread
ajira
chama cha walimu (cwt)
ess utumishi
halmashauri
mwaka
urambo
vyama vya wafanyakazi
watumishi
watumishi wapya
wilaya
Huduma mbovu sana upande wa opd(wagonjwa wa nje) wameunganisha jengo wagonjwa wa dharua na OPD ya wagojwa wa kawaida na kuacha vyumba vikiwa waziwa sisi wagonjwa wa magonjwa ya kawaida tungeendelea kutibiwa kule pa zamani na kuepusha kupata magonjwa ya mlipuko yakitokea, lakini pia hakuna...
Anonymous (e13e)
Thread
changamoto
hawana
hospitali
hospitali ya wilaya
kizungumkuti
mbovu
mpimbwe
stahiki
uongozi
upande
vigezo
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.