wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa tunakumbana na changamoto nyingi, tunaomba msaada wa Serikali na TAKUKURU

    Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili. Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti na mikoa zipo nyuma ?

    Kasoro mikoa michache kama Kilimanjaro, mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti zipo nyuma sana 1. Musoma - ipo nyuma sana, mji huu ukitoa watumishi wa umma na majengo ya serikali upo nyuma sana 2. Bukoba - Mji upo nyuma sana kwenye mzunguko wa pesa, wengi wameukimbia...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa Machemba - Tunduru wamwambia Ado Shaibu kuwa hawana huduma ya maji safi

    Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya usalama kwa matumizi ya kila siku. Ombi hilo limetolewa Seotemba 23, 2026 baada ya Mbunge wa Tunduru...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo lashiriki One Stop Centre

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi. Zoezi hilo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri ya Mji Bagamoyo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Karagwe: Watu wengi hawajaweza kuunganishiwa umeme kutokana na gharama ya kununua nguzo

    Ukitaka kuunganishiwa umeme, unatakiwa kununua nguzo kwa gharama ya Shilingi 300,000 kwa kila nguzo. Ikiwa utahitaji nguzo zaidi, utalazimika kulipia kila nguzo kulingana na mahitaji. Gharama ya kuunganishiwa umeme ni Shilingi 150,000. Kwa hiyo, kwa kiasi kikubwa, watu wengi hawajaweza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Serengeti anawaonea na kuwanyanyasa Walimu

    Hivi karibuni kumekuwepo na vitendo vya ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma unaofanywa na Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Serengeti. Ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma unaondoa haki za watumishi na kusababisha uonevu pamoja na manyanyaso. 1...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iingilie kati na kuchunguza mgogoro wa mashamba katika Kata ya Makomero, Igunga Mjini

    WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA, TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu DODOMA YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Fahamu mfumo wa Baraza la ardhi na nyumba la Wilaya

    https://m.youtube.com/watch?v=8Mw7LJ6EwEc&t=1764s[/URL]
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe azitaka Wilaya, Halmashauri zote kujiandaa kukabiliana na athari za Mvua za El Niño

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezielekeza Wilaya na Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafanya kazi ya kuzibua mitaro na mifereji ya maji ili kujiandaa na kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Haki za mlalamikiwa katika baraza la ardhi na nyumba la wilaya

    https://youtu.be/8SBsWi-SQHE?si=UWsuLLh2v3L1dOzq
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi - Katavi anatumia madaraka vibaya, anabagua watu

    Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha shida zao, hasa zinazohusu migogoro. Kuhusu ujenzi wa vibanda vya biashara pembezoni mwa barabara...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Mbinga (MDH), Watumishi hatulipwi stahiki zetu

    Watumishi wa Hospitali ya Wilaya Mbinga (MDH) hatulipwi stahiki zetu, ikiwemo fedha za uniform, extra duty, likizo, duty na call. Watumishi tunaishi maisha magumu sana huku Katibu, kila akiulizwa, hana majibu mazuri. Fedha za Basket Fund tunazikusanya na tunapata, lakini hakuna malipo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inatoa fedha za OC, kwanini Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inabagua katika ulipaji kwa baadhi ya Watumishi

    Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao. Cha kusikitisha, watumishi wa kawaida wanapofanya kazi za ziada (Extra Duty) na kuwasilisha madokezo ya malipo, mara...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Elimu Secondary wilaya ya Bariadi DC hatujapewa hela ya kujikimu na tukiulizia tunatishiwa kupelekwa Shule za vijijini au tunasakiziwa kesi

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  20. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
Back
Top Bottom