bunge la tanzania

The National Assembly of Tanzania (Swahili: Bunge la Tanzania) and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania. The current Speaker of the National Assembly is Job Ndugai, who presides over a unicameral assembly of 393 members.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania anaweza kufuta HANSADI za wapinzani au Mbunge mwenye bifu naye kibabe au chuki binafsi

    Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika amepewa Mamlaka ya kufuta Mchango wa Mbunge yoyote alioutoa bungeni.. Anaweza fanya hivyo kwa chuki, ubabe, bifu, au kumfurahisha Rais aliyepo madarakani. Nashauri Sheria hii ifutwe kwani inaminya uhuru wa kujieleza.. Kama kuna...
  2. B

    JamiiForums Tanzania LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026

    05 May 2026 Dodoma, Tanzania LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026 RUTO - MAADUI WETU SI WATANZANIA AU WAKENYA MAADUI WETU NI UKOSEFU WA AJIRA, UMASIKINI, MARADHI, NARUDIA WATANZANIA NA WAKENYA SI MAADUI WETU https://m.youtube.com/watch?v=mimwwdurzMU...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto anahutubia Bunge la Tanzania leo Machi 5, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU Leo saa tano asubuhi, Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Kipchirchir Samoei Arap Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni mara ya kwanza katika historia kwa Rais wa Kenya kufanya hivyo. Kwa upande mwingine...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya kuwasili nchini kwa ziara. Kutua ndani ya Bunge la Tanzania Mei 5 ya wiki ijayo Jumanne kwa ajili ya kulihutubia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Kenya Mheshimiwa William Rutto Anatarajiwa kuwasili Nchini kwa ziara ya kikazi Kwa Mualiko Maalumu Wa Rais wetu Mpendwa na Mbeba Maono wa Taifa letu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa William Rutto katika ziara hiyo Atatua pia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William Samoel Ruto kulihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mei 5, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, May 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika Daniel Baran Sillo (MB), ametoa taarifa hiyo kwa Wabunge wa Tanzania kuhusu ujio wa ugeni wa Rais wa Jamhuri ya...
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Taji Liundi amesema bunge la Tanzania lina wabunge vilaza, hawafai?

  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  8. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Spika wa bunge itisha bunge kujadili matatizo makubwa na ya dharula yanayoikumba nchi yetu

    Napata wasiwasi kama hili ni Kwa ajili ya wananchi au lipo Kwa ajili ya mafisadi Leo bunge la Ulaya litaketi kujadili mauaji ya halaiki TANZANIA ila Bunge letu lipo kimya wanakula posho 1. Spika wa bunge huoni ni hatari taasisi kubwa za kimataifa kuifungia nchi misaada na mikopo. Kwanini...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Bunge lililopiga makofi wakati kampuni ya electronics ya itel inapewa tenda ya sukari ndilo linataka kurudi tena

    Huu ni moja kati ya chaguzi ambazo zimekuwa very useless na hasara kubwa kwa taifa. Fikiria wale wabunge waliogonga meza na kupongeza (wengi hiyo ndiyo kazi kuu wawapo bungeni) ufisadi uliofanyika baada ya kampuni ya itel kupewa tenda ya ununuzi wa sukari, Leo hii wanataka kurejea...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je Bunge ndilo limepitisha $90 kwa ticket za ndege kuanzia Nov 2025?

    Inasemekana ongezeko la ticket kuingia $45 na kutoka $45 jumla $90 kwa kila ticket za wageni na Watanzania wasafirio nchi ni deal ya Abdul na mkurugenzi wa taifa lakini sina uhakika. Je ni bunge limepitisha hili? Na ni kwanini?
  12. Griss

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwandiko wa Mbunge wa bunge la Tanzania!

    Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!! TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge...
  14. Tanzaniavate

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia

    Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia “Uongozi ni wito wa kutumikia watu — si nafasi ya kujitukuza.” Maisha ya Job Ndugai kwa Ufupi Jina kamili: Job Yustino Ndugai Tarehe ya kuzaliwa: Januari 22, 1960 Eneo alilotumikia: Mbunge wa Jimbo la...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania limevunjwa rasmi leo kama maelezo ya Rais

    My Take Maisha bila Chadema yanaendelea na maandalizi ya Uchaguzi yamepamba moto. Ukisusia wanakula. ============== Bunge la 12 la Tanzania limevunjwa rasmi leo kufuatia maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa Juni 27, 2025 wakati akihitimisha shughuli za bunge hilo jijini Dodoma...
  16. second9

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limepoteza heshima na mvuto kabisa

    Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu. Bunge la Tanzania. Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na...
  17. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa bunge la Tanzania, 1965-2025. ( Na Mawaziri)

    Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi. Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi?? Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Bunge la Tanzania limekimbia majukumu yake ndio maana Bunge la Ulaya linatujadili

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi. Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limeegemea zaidi kwenye visingizio vya mapenzi ya jinsia moja na sio kujibu hoja 17 za uwepo wa uvunjifu wa haki za kibinadamu

    Nilimsikia Mbunge mmoja heti anasema yeye yupo tayari sisi wote tunywe maji ya kisima amesahau ni jinsi gani watanzania maskini wanatekwa naa kuuawa ovyo ovyo bila usalama wowote wengine wana bambikiwa kesi za uongo mabadiliko haya hepukiki sijaona cha msingi hili bunge lilicho jadiri wala hoja...
Back
Top Bottom