iramba

Iramba is one of the six districts of the Singida Region of central Tanzania. It is bordered to the Northwest by the Shinyanga Region, to the North by Simiyu Region, to the east by the Mkalama District, to the South by Ikungi District and to the West by the Tabora Region. Its administrative seat is the town of Kiomboi].
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the new Iramba District was 236,282.According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Iramba District was 368,131.[1]

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO

    MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Mwenda kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, Wilaya ya Iramba - Julai 24, 2026

    Ratiba ya Mbio za Mwenge wa Uhuru, Wilaya ya Iramba - Julai 24, 2026 Kaulimbiu: Tanzania ni yetu sote, Tushikamane kwa pamoja kuleta maendeleo.
  3. H

    JamiiForums Tanzania DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA

    DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba nao hawajalipwa fedha za kujikimu

    Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, bado hawajalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapofuatilia na kuulizia malipo yao, hupokelewa kwa majibu makali badala ya kupewa ufafanuzi wa kina kuhusu lini...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Wilaya - Iramba upande wa afya tunadai malipo ya extra duty tangu Agosti 2025

    Watumishi wa Afya Halmashauri ya Iramba Mkoani Singida, Hospitali ya Wilaya Kiomboi tunakaribia Mwaka sasa hatujalipwa stahiki zetu za Extra Duty na uongozi upo kimya kila tukiuliza tunajibiwa majibu ambayo sio rafiki, tunadai tangu Agosti 2025. Tupo katika Jimbo la Waziri Mkuu tunaomba tatizo...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Iramba: Mwenge wa uhuru wazindua miradi ya tsh. Bilioni 7.8

    IRAMBA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA TSH. BILIONI 7.8 Mwenge wa Uhuru 2025 Umeendelea na Mbio zake Wilayani Iramba Mkoani Singida ambapo Miradi Saba yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 7.8 imekaguliwa, Kuwekwa Mawe ya Msingi na Kuzinduliwa Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la...
  8. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa Kitongoji alieshinda (Chadema) atimuliwa kwenye kikao cha WDC Iramba, Singida

    Waungwana salaam, Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi. Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kilichopo katika Kijiji cha Ruruma, Kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA, ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari. Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao...
  9. Thesis

    JamiiForums Tanzania Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Habari, Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida. Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo. NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA Malipo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufanya mkutano mkubwa wa Elimu ya Uraia Jimboni Iramba

    Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo Mkutano utafanyika weekend hii...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba na Ally Happy wanavyoliweka mkakatini Jimbo la Iramba 2030

    Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happi anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa kuwa Waziri.
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Ali Hapi kwenda kumng'oa Mwigulu jimboni Iramba 2025

    Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho aliyoifanya na kupiga picha na bibi huyo inasemekana imezalisha jicho la kuonwa na mama na kupewa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Huyu hapa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo waungana "eti" ili kuondoa ushindani jimbo la Iramba

    Hii ni ajabu sana. Hivi majuzi eti Dkt Mwigulu aliamua kuzindua ujenzi wa barabara kutoka Sepuka hadi Ndago ili kuunganisha na Kizaga - pale junction ya barabara Kuu iendayo Magaharibi - Tabora na Shinyanga. Wakiwa katika uzinduzi huo Dkt Kitila akajinadi kuwa hawana tena siasa za majitaka kati...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mpambe wa Mwigulu, Iramba hana weledi wowote wa kiuongozi zaidi ya siasa tu

    Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
  18. F

    JamiiForums Tanzania DC wa Iramba, Joshua Nasari(dogo janja) ahamishiwa Monduli na DC Selemani Mwenda wa Monduli arudishwa tena Iramba

    Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaka huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi. Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hili la DC Nassari kuhamishiwa Iramba ni 'Strategical' kutokana na Ujio wa Tundu Lissu atokae huko Singida?

    Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani. Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje? Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DED Iramba ashikiliwa Ushetu Shinyanga kwa ubadhirifu wa Milioni Tsh. 180 alipokuwa DED

    Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi. Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola anashikiliwa kwa ubadhirifu wa Milioni 180, fedha za halmashauri ya Ushetu iliyopo hapa Shinyanga. Amri ya...
Back
Top Bottom