kulala

Kulala (plural: Kulals, also known as Moolya) is a caste of India.
The Kulala community is found primarily in the Kasaragod district of Kerala state in India, where they have several exogamous gotras, including Banjan, Banjera, Salian and Upian. They speak the Tulu, Kannada and Malayalam languages. Another Kulala community exists in Andhra Pradesh, where they speak the Telugu language and are also known as Kummara and variants of that name, such as Kumbara and Kummari.The traditional occupation of Kulala people is making pottery, although in the present day their occupations also include government service and wage-labour. Despite this, they held the respect of other communities and their product was an essential item.

They belongs to other backward class.

View More On Wikipedia.org
 1. U

  Lissu: Wakati wa Magufuli waandishi walikuwa wanaogopa kunihoji, kwa sasa wanaweza kunisogelea

  Ameyasema leo akihojiwa na Ngasa TV leo Dodoma akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Ikungi, Singida.. Akizungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu, amesema moja ya mambo yaliyobadilika kidogo baada ya Mwendazake John P. Magufuli kufa, ni waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kumsogelea na kumhoji...
 2. amadala

  Kulala kazini nchini Japan sio kosa

  Hello 🤗 #UNAAMBIWA: Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa. Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi...
 3. Bujibuji Simba Nyamaume

  Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

  KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao. Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
 4. wadiz

  Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

  Wasalaam! Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii...
 5. makidee

  Nikichakata mbususu mtoto analia anatumia, mkuki ulikataa kulala.

  Nisimchoshe MTU yoyote. Katoto kazuri nilikachakata utamu. Nilipata kadada kadogodogo juzi. Nikakaalika lodge Moja mafichoni. Kalikuwa na hamu ingawa hakakuonesha waziwazi. Katika hangaika hangaika kunako sita Kwa sita. Nilipiga mashine mizunguko mitatu, wa nne kakaanza kulia kanaunia...
 6. W

  Mama Samia mswalie Mtume, watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

  Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi......na mara kadhaa udenda pia. Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya...
 7. Mama Edina

  Tabia ya kulala na wake za watu na athari zake

  Kwanza nianze na salamu. N.k.j.j.m.w. Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa. Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi. Kumtoa MTU busha nk
 8. Mwachiluwi

  Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

  Hello Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasa hivi?
 9. chama mpangala

  Faida za kupaka mafuta nyayoni wakati wa kulala (usiku)

  FAIDA ZA KUPAKA MAFUTA NYAYONI WAKATI WA KULALA USIKU 1. Mwanamke mmoja anasema babu yake aliishi miaka 87 bila ya kuumwa na mgongo, viungo, kichwa, meno wala mwili baada ya kufunzwa siri na mzee mmoja wa Kolkata alipokuwa anafanya kazi ya kuweka mawe juu ya reli akamuambia apake mafuta nyayoni...
 10. Meneja Wa Makampuni

  Tatizo la wasailiwa kulala nje siku za usaili Dodoma

  Hili limekua ni tatizo kubwa sana. Mdogo wangu ameenda kwenye usaili Dodoma mpaka muda huu saa sita usiku hana mahali pakulala, yeye na wenzake wametembea nyumba zote za wageni zimejaa. Hivi hakuna utaratibu mwingine serikali inaweza kuufanya ili vijana wetu wasijazwe huko Dodoma. Inaonekana...
 11. CIA mgumu

  Nipeni location nzuri ya kulala kwa Tarime Mjini

  Wakuu, habarini za Jioni humu ndani. Nipo njiani kulekea Tarime mjini naomba kupewa msaada wa hotel nzuri ya kupumzikia kwa budget ya Tsh.100,000/=kushuka chini yenye manthari mazuri ila kusiwe na bar humo ndani na palipotulia sana, now nipo maeneo ya nyumbani kwao na Kichele hapa. Kukiwa na...
 12. M

  Mambo ya Walawi 18:22: Usilale na mwanaume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo

  Katika sura yote ya 18 ya kitabu cha mambo ya Walawi kwenye Biblia, Mungu amekataza mambo machafu yahusianayo na ngono ikiwemo kuoana na ndugu wa karibu, ikiwemo pia kulala na wanyama. Uzi huu ni kumbushio maalumu juu ya unajisi utokanao na ushoga. Uchafu wa mambo hayo HUINAJISI NCHI, hata nchi...
 13. NetMaster

  Safari yangu ya "No Fap" imeisha leo siku ya 9, nimeambulia "F", nimeteleza kwa binti ambae sijawahi kuvutiwa naye

  "Post mshindo clarity" ni ile hali akili inapotulia ikiwa haina tena wenge la tamaa za mwili baada ya kupiga mshindo au mishindo ya kuzimaliza hamu ya ngono, leo kilichonipata duhh! Binafsi nilikuwa na kibubu cha siku tisa nilikuwa nafanya ishu flani inaitwa "No Fap", soma uzi wangu >> huu << ...
 14. M

  Kulala chini/katika zulia muda mrefu kuna madhara?

  Wadau salama, Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada! Je, kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya? Nawasilisha
 15. Rashda Zunde

  Miradi inaendelezwa na awamu ya 6, hakuna kulala

  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35. Mchakato huo umeanza kwa kufanya mkutano wa uhamasishaji kwa wananchi wa kata ya Madimba, Moma, Mbawala na Nanguruwe kuhusu ujenzi wa mradi huo...
 16. SemperFI

  Unalala saa ngapi kwa siku? Ona madhara ya kutolala vizuri

  Wataalam kutoka Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani CDC wanashauri watu wazima kupata masaa 7 hadi 8 ya kulala kila siku. Wanasema ukosefu wa usingizi wa kutosha unahusishwa na hatari ya kupata magonjwa sugu ikiwemo Kisukari, Magonjwa wa Moyo na Mishipa, Unene kupita kiasi na...
 17. HS CODE

  Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

  Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
 18. Bujibuji Simba Nyamaume

  Wanaume tujadiliane; nini faida za kulala upande wa kulia wa mwanamke?

  Watu makini, karibuni sana kwa mjadala.
 19. Mganguzi

  Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

  Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
 20. S

  Ni ipi mantiki ya kulala huku radio inapigamziki

  Najua wapi huweka mziki kwa muda ili wakifanya yao, kama ni yumba za kupanga watu wasisikie, ila je wale mtu usiku mzima sabufa linalia tuuuuu, kwamba wanasikiliza mziki huku umelala? Au ni matumizi mabaya tu ya nishati?
Top Bottom