https://www.youtube.com/live/NMGmvwH9P-w
Waziri Kivuli wa TAMISEMI, Kulthum Mchuchuli anazungumza na Waandishi wa Habari, Septemba 25, 2026
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kinapinga kwa nguvu zote operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini za kuwaondoa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
Habari viongozi wa TAMISEMI,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, Kata ya Mchikichini, Mtaa wa Msimbazi Bondeni, eneo ambalo lipo ndani ya mradi wa Bonde la Mto Msimbazi (Msimbazi Basin Development Project) unaotekelezwa eneo la Jangwani.
Awali mlifika na kututaarifu kuwa maeneo yetu yamejumuishwa...
Nafanya kazi kama Mwalimu wa Shule ya Msingi katika Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, kero yangu kubwa ni kuhusu kuchelewa kwa vibali vya uhamisho wa kubadilishana kwa watumishi wa kada mbalimbali nchini.
Nimekuwa nikifuatilia uhamisho wa kubadilishana sababu familia yangu ipo Singida. Nilianza...
Anonymous
Thread
kubadilishana
maombi
mrefu
muda
muda mrefu
tamisemi
uhamisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kuhakikisha Wakala wa Huduma za Ugani (NAESA) unatekeleza majukumu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa Ofisi yake itatekeleza kikamilifu jukumu la kuisimamia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)...
Nimekuwa nikukutana na picha za watumishi wa sherikali hasa wakiposti maeneo mbalimbali ya nchi ya vijijini na changamoto za miundombinu zilivyo
Na kuna wengine wanafikia kusema huko mimi siwezi kufanya kazi huko, mara hoo uko watu wanaishije nk
Lile vumbi ambalo unaliona wewe leo linaweza...
Habari JamiiForums,
Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma walio chini ya TAMISEMI.
Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo tangu mwezi Januari 2026, lakini hadi sasa bado yanaonesha kuwa yapo TAMISEMI bila hatua yoyote kuchukuliwa. Pia hakuna mrejesho...
Anonymous
Thread
ess utumishi
tamisemi
uhamisho wa watumishi
watumishi
Mimi ni mmoja wa watu waliowahi kupigiwa simu na mtu anayejitambulisha kwa jina la Joseph Kichele, akidai anatokea Ofisi ya Ajira ya TAMISEMI jijini Dodoma. Kutokana na uzoefu wangu na taarifa nilizopata kutoka kwa wengine, naomba mamlaka husika zifuatilie suala hili kwa haraka ili kuwalinda...
Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto(ajira mpya).
Mpaka sasa tunadai hela zetu za kujikimu, ila tukifika kwa viongozi wetu wanatupa ahadi ambazo hazijawahi kutimia.
Tayari TAMISEMI walishatoa barua kuhusu Malipo ya ajira mpya kabla ya tarehe 15 June ila cha kushangaza mpaka...
Tunafahamu kuwa utumishi wa umma unahusisha kufanya kazi popote pale kulingana na mahitaji ya Serikali.
Hata hivyo, ni muhimu pia kutambua kwamba familia ndiyo msingi wa jamii imara.
Kuna watumishi wengi, hususan wanawake walioolewa na wanaume waliooa, ambao hupangiwa vituo vya kazi katika...
Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya...
Anonymous
Thread
halmashauri
pesa za kujikimu
tamisemi
tarime
watumishi wapya
Kuna mambo ya kusikitisha, na mengine yanayoumiza. Ni matukio yanayokufanya ujiulize maswali mengi bila kupata majibu hasa ukiwaza mwelekeo kesho kwenye mambo muhimu yanayogusa ustawi wa jamii.
Mnamo Agosti 12, 2024, aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro, alifika...
Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali chini ya Mradi wa TACTIC kuzingatia viwango vya ubora vilivyoainishwa katika...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao.
Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao.
Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
Anonymous
Thread
barua
binafsi
chuki
kuficha
kuhamisha
mabaya
manispaa
matumizi
matumizi mabaya
mkurugenzi
ofisi
ofisi ya rais
ofisi ya rais utumishi
or tamisemi
rais
shinyanga
tamisemi
uhamisho
utumishi
zake
Kwa huu mtaàla mpya hakuna haja ya Wanafunzi kukesha sana shuleni na content za T/L, huu mtaàla unamruhusu mwanafunzi kuwa na maarifa zaidi ya Yale anayoyapata shuleni, kwahyo mtoto anaendelea kujifunza akiwa katika mazingira yyte Yale iwe nyumbani au shuleni. Tuwape wanafunzi nafasi waendelee...
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale.
Kuna jambo linasikitisha kidogo, na kama ungekuwa ni wewe sidhani kama ungefurahia, mwaka jana 2025 serikali ilianzisha mradi wa kusapoti elimu yetu kutokana na upungufu wa walimu mashuleni na katika mradi huo viliainishwa vitu vingi ikiwemo sifa za...
Habari wana Jamii Forums,
Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu.
Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
Anonymous
Thread
elimu
kero
kulazimishwa
mbovu
serekali
shule
tamisemi
tuition
utaratibu mbovu
wanafunzi
wizara ya elimu
Kuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM.
Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning, adult education and community development.
Zote hizi na nyingine zinatolewa kwenye vyuo vikuu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.