Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa daktari mmoja wa kike katika hospitali yetu ambaye anadaiwa kutowahudumia wagonjwa kwa wakati na kutokuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa.
Inadaiwa kuwa hata wagonjwa wenye hali za dharura au wajawazito wamekuwa wakipata changamoto ya kupata huduma kwa wakati...
Huduma mbovu sana upande wa opd(wagonjwa wa nje) wameunganisha jengo wagonjwa wa dharua na OPD ya wagojwa wa kawaida na kuacha vyumba vikiwa waziwa sisi wagonjwa wa magonjwa ya kawaida tungeendelea kutibiwa kule pa zamani na kuepusha kupata magonjwa ya mlipuko yakitokea, lakini pia hakuna...
Anonymous (e13e)
Thread
changamoto
hawana
hospitalihospitaliyawilaya
kizungumkuti
mbovu
mpimbwe
stahiki
uongozi
upande
vigezo
wilaya
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Iramba Mkoani Singida, Hospitali ya Wilaya Kiomboi tunakaribia Mwaka sasa hatujalipwa stahiki zetu za Extra Duty na uongozi upo kimya kila tukiuliza tunajibiwa majibu ambayo sio rafiki, tunadai tangu Agosti 2025.
Tupo katika Jimbo la Waziri Mkuu tunaomba tatizo...
Anonymous
Thread
afya
hospitalihospitaliyawilaya
iramba
malipo
singida
upande
watumishi
wilaya
Sisi baadhi ya wananchi tuna malalamiko kuhusu hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Igawilo, zipo changamoto mbalimbali zinazoathiri upatikanaji wa huduma bora za afya kwa leo nitazitaja mbili tu.
Kwanza kabla ya yote kuna huduma zisizoridhisha kwa baadhi ya Watumishi...
Tunauza viwanja vilivyopimwa na vyenye hati, vilivyopo Kibaha Mjini, mita chache tu kutoka zilipoanzia barabara ya mwendo kasi.Vipo kando ya hospitali ya wilaya ya Kibaha
💰 Bei ya kawaida: Tsh 10,000 kwa square meter (Cash)
Lakini kwa members wa kundi hili nimeweka OFA MAALUM
📐 Mfano kiwanja...
Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto).
Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
Anonymous (fdc6)
Thread
hivyo
hospitalihospitaliyawilaya
kuingia
sheria
simu
ubungo
wagonjwa
wilayawilayaya ubungo
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani.
Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya.
Hospitali hiyo ina...
WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za Afya Katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni tangu ilipokamilika na kuanza kutoa huduma.
Waziri...
Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi
Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya wilayani Ikungi. Uongozi
wake umewezesha serikali kujenga chumba cha kuhifadhia maiti, hatua muhimu...
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu hali ambayo inaweza kusababisha upotevu wa fedha na kuwa Watumishi wasio na...
Tunaomba TAKUKURU ichunguze mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu yoyote tangu ianzishwe na Mapato ya Hospitali yanakusanywa Jengo la Nje la Wagonjwa (OPD) na Wauguzi ambao sio taaluma yao katika ukusanyaji wa pesa ya Hospitali.
Pia imeonekana na kusadikika kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu na ninaamini inasumbua watu wengi pia.
Nimekuwa nikifika kituoni hapo kupata huduma ya Ugonjwa wa...
Picha: Ubungo Manispaa
Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya.
Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji.
Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
Wakuu,
Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na ukarabati wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya Utete, Rufiji inayogharimu Shilingi Milioni 900 ikiwa ni dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuboresha utoaji wa huduma bora za Afya kwa wananchi.
Bashungwa amefanya ukaguzi huo...
Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za hospitali, ndipo nikapatiwa dawa.
Mnaweza mkawa mpo kwenye foleni na hakuna anayejali, utakuta mtu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na kuridhishwa na matumizi ya fedha yaliyotolewa kwa awamu na Serikali ambapo kiasi cha Shilingi Bilioni 3.5 kimetumika katika ujenzi wa majengo mbalimbali katika Hospitali hiyo.
Bashungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.