ukuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

    Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema. Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane kitaifa. Rasha alitakiwa ahudumie japo Wilaya nzima sio kata tu. Wanaotenda mema bila kujali mapito...
  2. peno hasegawa

    Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  3. The Burning Spear

    Harakati za vyama vya upinzani Tanzania ni kupewa Ukuu wa Wilaya tu

    Toka CCM waligundue Hilo hawana presha kabisa na upinzani. Utaratubu huu alianza nao mkapa. Issue sasa ninl kuwahonga madaraka ili wakae kimya kwani nao ni chumia tumbo. Hata ukiwahoji watakuuliza kwani wewe unalisha familia zetu? Enzi hizo bwana Cheo Yupo moto kwelikweli mkapa aliivuruga...
  4. L

    UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

    UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA === TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake...
  5. figganigga

    Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  6. Victoire

    Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    1) Basila Mwanukuzi 2) Jerry Muro 3)Siriel Mchembe. 4)Gabriel Zachariah. 5)Jasinta Mboneko. 6)Mathayo Masele. 7)Zainabu Kawawa. 8)Tano Mwera. 9)Abbas Kayanda. 10)Festo Kiswaga. 11)Wilson Shimo.
  7. Meneja Wa Makampuni

    Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

    Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi. Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla...
  8. S

    SoC01 Nikiupata Ukuu wa Wilaya nitafanya yafuatayo…

    Mkuu wa wilaya ni kiongozi mkuu wa serikali katika wilaya na jukumu lake la kiutawala ni kuhakikisha mifumo ya utawala katika eneo lake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.Kiongozi huyu huteuliwa na Rais na ndiye mwakilishi wa Rais katika wilaya. Baadhi ya majukumu yake ni; kusimamia shughuli...
  9. Chee4

    Nafasi za Ukuu wa Wilaya sio mali ya UVCCM

    Baada ya taarifa rasmi ya Uteuzi wa MADC kutoka hadharani kumekuwa na miluzi mingi kutoka kwa wanaharakati wa mitandaoni, CHADEMA na UVCCM wenyewe. Something is wrong somewhere, hivi ni nani aliyewahi kusema nafasi za MADC ni za UVCCM? Ni nani aliyewaambia CHADEMA sisi wanajumuiya Ultimate...
  10. M

    Njia rahisi za kuupata/kuukosa Ukuu wa Wilaya nchini

    #kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kwa ufupi njia rahisi za kuukwa nafasi ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini ni 1)uwe ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini na hasa chadema,halafu ukiwa kwenye chama hiki uwe mkosoaji mkubwa wa chama tawala ccm.Wewe kwenye mitandao,mikutano...
  11. denooJ

    Tatizo letu ni uwepo wa nafasi ya Ukuu wa Wilaya au ni wale waliomo kwenye hizo nafasi?

    Salaam, Nimekuwa nikiona mijadala mingi baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia S. Hassan, kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya siku ya Jumamosi, tarehe, 19.06.2021. Kabla wengi walikuwa wakilaumu uwepo wa hicho cheo cha Ukuu wa Wilaya kama kitu kilichopitwa na wakati kwani...
  12. The Boss

    Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

    Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba iweke hapa =====
  13. Erythrocyte

    Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

    Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine, likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe. Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za...
  14. P

    Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

    U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika. Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru. Hili...
Back
Top Bottom