makao makuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji Songe Kilindi

    Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka. Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Kenani Kihongosi anazungumzia kuhusu maridhiano, leo Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya IRGC yaangamizwa huko Tehran

    Makao makuu ya IRGC huko Tehran yameangamizwa na ndege-vita za Usrael huko Tehran Iran. Hata vita hii ikiisha leo hii Iran itakuwa imepara kilema cha maisha: 1. Imepoteza Airforce. 2. Imepoteza Navy 3. Imepoteza Air-defence. 4. Imepoteza viongozi wake
  4. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kujenga ofisi ya makao makuu ndogo Dodoma

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametembelea kiwanja kinachotarajiwa kujengwa ofisi za Kanda ya Kati ya chama hicho kilichopo Kata ya Ipagala, Mtaa wa Ilazo jijini Dodoma. Akizungumza katika eneo hilo, Heche amesema ofisi hiyo itakuwa makao makuu ndogo pamoja na ofisi nyingine...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tunataka kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi-Dkt. Mwigulu

    TUNATAKA KAZI ZA SERIKALI ZIFANYIKE MAKAO MAKUU YA NCHI-DKT. MWIGULU. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma karibu na Wananchi. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Januari 22, 2026. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli...
  6. amarina

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Azuma kibono ya UTI sugu

    Watoto wa 2000 wana UTI ya juu kiwango cha zege. Yaani Hawa watoto ni Malaya Hasa jinsia hii ya Hawa watu
  7. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Barua ya kiingereza kutoka Polisi Makao Makuu, imelia

    Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi. Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu. Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4 Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Dodoma Makao Makuu tunaenda na Samia 2025-2050

    Dodoma stand up. Njooni Convention hapa tule MEMA ya Chama. Karibuni wote
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia Makao makuu ya Umoja wa Ulaya, EU na kuua 23

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa. Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bananga: Fedha Zilizochangishwa na CCM ni za Kampeni na ujenzi wa makao makuu ya kisasa

    Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa ajili ya uchaguzi na ujenzi wa Makao makuu ya CCM - Dodoma.
  12. M

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank makao makuu na kelele kwa majirani

    Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PSSSF: Kwa TEHAMA yetu ofisi zetu nchini pote zinaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mchafu unatafuta nini huko CCM maana CCM ni makao Makuu ya Uchafu, maovu, ukatili and the like...

    Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu) WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
  15. E

    JamiiForums Tanzania UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

    Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi DSM kuna ving'ora vingi kuliko magari barabarani na hakuna tamko lolote kutoka makao makuu trafiki kuzuia hilo

    Awamu ya sita imekuwa vurugu mechi; Ile dhana ya utawala bora Haionekani hata kwenye mambo madogomadogo kama haya! Hivi inawezekanaje Barabara zote zijengwe kwa mpigo pasipo mpangilio? Yaani Unawezaje kufumua; KILWA ROAD, NYERERE ROAD, MANDERA ROAD, MOROGORO ROAD, MWAIKIBAKI, BAGAMOYO ROAD n.k...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya usalama wa taifa Iran yasambaratishwa na Israel

    Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu..... IAF strikes Tehran's Internal Security HQ ByJERUSALEM POST STAFF Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
  18. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌ Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio. Tuombe amani Hali ni tete.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia

    Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...
Back
Top Bottom