mkuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Mvomero hana uchungu wa mali na maisha ya wananchi

    Wananchi mazao yao yameharibiwa na mwekezaji na kuna mgogoro ila yeye anasema Ijumaa?? Kweli wananchi ndio mabosi wako unasema Ijumaa? Who are you? Maulidi Dotto? Sipendi kuona mwananchi wa wakawaida wakionewa basi tuu
  2. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya na Polisi wilaya ya Ukerewe wameshindwa kukomesha wizi na vibaka

    Moja kwa moja kwenye mada. Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku. Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na kuingia kuiba pesa. Wezi hao wanapitia kwenye paa, wanakata nyaya za cctv kamera na kuiba pesa. Pia...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Siha: Vijana walioweka jeneza juu ya gari walikuwa wamelewa

    Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi. Pia Soma: Jeneza lawekwa juu ya gari...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Singida, Godwin Gondwe Apongeza TPSC kwa Kuwajali Watoto Wenye Mahitaji Maalum

    Na Mwandishi Wetu, Singida Kampasi ya Singida ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) imekabidhi msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum wanaolelewa katika Kituo cha Malaika wa Matumaini kilichopo Ititi, mkoani Singida, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa chuo...
  5. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya anawaambia watu wahame sehemu hatarishi?

    Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe. Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii. Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi wadai DC wa Kilosa anasababisha maafa na hafuati Sheria, mwenyewe asema si kweli

    Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu. Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Peramiho: Mtoto wa Jenista atemwa, CCM yamteua DC Komba kugombea

    Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma. Uteuzi huo umefanyika Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Maswa aagiza waliogoma kurejesha mkopo wa asilimia 10% kukamatwa

    Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu), awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH: ========== Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wanaofanya Serikali ichukiwe. Mkuu wa Wilaya kuomba radhi haitoshi anatakiwa kuwajibishwa

    Mkuu wa wilaya ya kyerwa mkoani mbeya ameonekanika live Leo akiomba radhi kwa kuwafungia wananchi ndani wasitoke nje ukiisha FIKA SAA SITA KAMILI. MH RAIS aliisha elekeza kabisa wananchi wafunguliwe waendelee na SHUGHULI zao Mkuu wa wilaya Leo ni siku ya ngapi tangu amri hiyo itoke kwa RAIS...
  12. N

    JamiiForums Tanzania kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
  13. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mvutano wa Jerry Muro alivyokuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru na mkurugenzi wake Dkt. Mahera

    Ilikuwa ni moja ya mvutano huku Jerry Muro akionekana akimlalamikia moja ya kiongozi ambaye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru Dkt. Wilson Mahera Charles kwa kuchelewa kufika katika ziara. Naye wakati anaambiwa hivyo alionyesha kucheka na Muro kutafsiri kama kitendo cha...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Nyasa awataka Wananchi kutambua umuhimu wa Lishe Bora, asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi kutambua umuhimu wa lishe Bora kwa afya ya mwili wa binadamu kwani ni Msingi wa mambo mengi ikiwemo kufanyakazi na kufikiri sawasawa. Mhe.Magiri ameyasema hayo wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika mwanzoni mwa juma...
  16. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo achaguliwa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409. Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya Tanzania ni vigumu sana kuajirika akipoteza kazi

    Watu kama January Makamba, Mpina, Mrisho Gambo, Sabaya na Jerry Muro wasipoteuliwa ubunge au kazi za serikalini wanaweza kufanya kazi gani tena hapa Tanzania katika sekta binafsi? Ni wachache sana wanaweza kuambulia kazi za maana kama CEO wa sasa wa Simba, kama hujui biashara maisha lazima...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uonevu unaofanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Serengeti

    Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu. Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua. Amewasimamisha watumishi wa kituo cha afya Natta bila Mkurugenzi kushirikishwa (ambaye ni mwajiri). Amemchukua...
  20. R

    JamiiForums Tanzania DC Makete atoa onyo kwa wananchi kuacha wivu wa Misitu. Asema hasara imefikia Bilioni 80 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
Back
Top Bottom