Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana....
Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote.
Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf
Pombe ni...
Dkt. Mackrina Nombo, Mtaalamu wa Lishe
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi ulio chini ya Wizara hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) imeanza kampeni ya unywaji wa maziwa shuleni ikiwa ni hatua...
Mambo vipi wakuu?
Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
Kama kichwa kinavosema
Mke wangu ananyonyesha sasa miezi 8 sasa sijaonja ile kitu leo nmegusa nmemwaga humohumo
Akitumia p2 kuna madhara yoyote kwa madaktari
Nimeenda pharmacy wamesema hakuna shida
Nimekuja kwa familia yngu mnihakikishie na nyie aisee
Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda.
Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani.
Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??)
Eti...
Habar wakuu nimekuja kwenu mim Nina uzito wa 80kg na urefu wa 164cm,nauliza maji kwa siku natakiwa niywe Lita ngap ndani ya masaa 24,na pia mkojo kwa siku natakiwa kutoa Lita ngap kwa siku kiafya
Habari zenu waungwana?
Naomba kuwauliza wataalamu wa humu.
Leo alfajiri majira ya saa 10 hivi nimekunywa dawa za minyoo zinazoitwa Albendazole.
Sasa baadae leo jioni nina miadi na jamaa zangu fulani hivi kutoka huko mkoani, ninavyoijua hiyo kampani ya hao jamaa zangu kupiga vyupa hakuepukiki...
Wafugaji wa kuku
Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.
✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku
Mdharau asili hufa masikini
Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
Wakuu, kwema humu?
Zimepita siku kumi tangu nilipowaaga kwamba naenda "kugawa chakula" katika maeneo mengine ya dunia. Mimi nilifikiri akiba ya chakula niliyoiacha humu inatosha kuwafanya watu wanywe na kula hata kwa mwaka mzima. Leo nikasema ngoja nirudi nichungulie nyumbani kukoje? Duh...
MUME NA MKE MKISHIRIKIANA, KULEA WATOTO NI RAHISI NA RAHA KAMA KUNYWA MAZIWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ndio maana unatakiwa uwe Makini Sana kutafuta mwenza wako. Ndio maana unapaswa ufanye ngono Salama, hasa mwanamke. Sio kutobolewa tobolewa kiholela na kupata mimba bila mipango...
Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya.
Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya pombe, na dawa za kulevya ya mwaka 2025 inapendekeza hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.