Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥
Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali.
Hakuna mchezaji wa...
Wanasayansi wanatumaini kuwa utafiti huu mpya utakuwa "mwanzo wa sayansi ya kisimi".
Hatimaye wamefanikiwa kuchora ramani ya neva za kisimi, miaka mingi baada ya ramani ya neva za uume kuchorwa, kupitia utafiti mpya ambao bado haujapitiwa rasmi na wataalamu wengine wa kisayansi (peer review)...
Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini.
Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu.
Jambo...
Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi.
Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo.
Mbaya zaidi, pesa za Chama...
Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa.
Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?!
Hayo makofi...
Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi.
Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
Wakuu,
Narudia tena watz bado tupo fo fo fo
Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi.
Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz.
Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote.
NILIVYOVIONA...
Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao.
Tukaingia mahali mitaa ya Sinza tukaanza kula msosi na kupiga story mpaka ikafika usiku. Kumbe wale...
Katika wiki za hivi karibuni, Marekani imeonekana kama mahali ambapo taasisi za dola zinazotumia nguvu—kama ICE (Immigration and Customs Enforcement)—zinapoanza kutenda kwa ukali usio na uwazi, watu wengi weupe wameanza kuona na kuelewa jinsi nguvu hizi zinavyoweza kuumiza maisha ya kawaida ya...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera
Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI"
AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na...
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.
Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi.
High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana.
Mungu nipe wepesi.
Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN.
Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
baada
cnn
habari
idadi
kimataifa
kimya
kwanzamaramarayakwanza
mbele
mpaka
ndani
ripoti
serikali
serikali ya tanzania
siku
tanzania
vifo
vyombo
vyombo vya habari
wanakuja
Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri.
Akiwa afisa mkuu mtendaji wa Kampuni ya Chrises Real Solutions, kila tunda kwake si kwamba analiona ni mavuno tu...
Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros.
Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.