kongwa

Kongwa District is one of the seven districts of the Dodoma Region of Tanzania. It is bordered to the north by Manyara Region, to the east by Morogoro Region, to the south by Mpwapwa District, and to the west by Chamwino District. Its district capital is the town of Kongwa.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Kongwa District was 309,973, up from 249,760 in the 2002 Census.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Rushwa kwa Watumishi wa TANESCO (surveyors) Kongwa

    Ukiniambia hapa hakuna mazingira ya RUSHWA BASI NASTAHILI KUWEKWA HOSPITALI YA AKILI MIREMBE. Iko hivi: Niliomba kupatiwa huduma ya umeme mara mbili na kupewa nambali hizi kama rejea ya maombi hayo 1. 2907220637 ambayo mpaka leo haijarejesha majibu na 2. ikawa 2112220335 ambayo nayo hadi sasa...
  2. Emanueli misalaba

    Mwaka kogwa imembeba nini kwa mizania ya kiroho?

    Wana Jf Salaam , bila shaka mko poa poa na weekend hii. Kwa mda sasa nimekua nikisikia hii sherehe ya mwaka kogwa ambayo huazimishwa huko Makunduchi, Juzi ilibidi nimpigie simu mtu anaishi huko ili nimuombe anipe picha kamili huwa ikoje, aliniambia, 1. Kabla ya siku ya kwanza ya mwaka kogwa...
  3. Gily Gru

    Hili jani lina kazi gani?

    Habari za mchana wandugu, Nyumbani kwangu kumeota mmea flani hivi. Kuna mshikaji alikuja home kunisabahai akaniambia linaitwa Kongwa huko Zanzibar. Akasema huko kwao Tanga linaitwa msharifu. Anadai kuwa huu mmea unatumika kuua nguvu za uchawi na waganga wengi sana. Sikutaka kumuliza maswali...
  4. NetMaster

    Msaada wa lodge nzuri hapa Kongwa

    Habari zenu wakuu, naombeni kwa wakazi na waliowahi kifika kongwa mnisaidie lodge nzuri. Budget yangu ni elf 20, ikizidi sana 25
  5. Swahili AI

    DOKEZO Barabara ya Kongwa - Mpwapwa ni tatizo

    Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa. Barabara ni ya vumbi na mbaya zaidi ina matuta madogomadogo a.k.a rasta ambapo kwa basi au gari mtikisiko unaotoka kwa kupita kwenye...
  6. DodomaTZ

    Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

    Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa. Katika chaguzi...
  7. DodomaTZ

    Tetesi: Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma

    Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu ya viongozi wa CCM ambapo, amemlazimisha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bwana Abed Mussa...
  8. MIXOLOGIST

    Matumizi mabaya ya madaraka na Kuisababishia Bunge/Serikali hasara :Aione Ayubu wa Kongwa

    Wasalaam wana JF Kama nchi hii inafuata misingi ya utawala wa sheria basi namshauri bwana Ayubu wa Kongwa kwamba DPP anaweza kumletea shida kwa kuwakubali na kuwalea COVID 19 Naomba kushauri
  9. J

    Askofu Gwajima afanya mkutano wa Injili Kongwa, wengi wahudhuria mapepo yalipuka

    Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe jana alifanya mkutano mkubwa katika jimbo la Spika mstaafu mzee Ndugai katika kata ya Kibaigwa. Maelfu ya wana Kongwa walihudhuria na kupokea uponyaji ikiwemo kutolewa majini na mashetani pia. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  10. A

    Kongwa sirudi tena, kuna vumbi na funza miguuni nimepatia huku

    Wakuu, Huku hata iweje sitorudi tena pana funza za hatari, vumbi nikama linazaliwa huku yaani hapaeleweki kamwe naapa sitorudi tena huku hata iweje. Huku hapafai kuishi maji ni tatizo sugu yaani palifaa watu wasikae kabisa maana pabaya sijawahi kuona. Huku hapana hapana.
  11. The Eye

    Mauaji ya Bodaboda Kongwa

    Kumekuwa na wimbi la wizi wa pikipiki na hata mauaji kwa vijana wanaofanya kazi ya kusafirisha abiria kwa pikipiki wilayani Kongwa-Dodoma. Wiki tatu zilizopita Kijana mmoja aliyekuwa akifanya kazi hiyo Kongwa mjini alipotea kwa kipindi cha wiki mbili na baadae kukutwa akiwa amefariki na mwili...
Back
Top Bottom