Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Jackline Peter, mkazi wa Mji
Mdogo wa Katoro, Wilaya na Mkoa wa Geita, kwa tuhuma za kumshambulia kwa kutumia fimbo Rahel Jumanne, aliyemtuhumu kumwibia fedha zake.
Tukio hilo la kikatili lilitokea Agosti 26 2026, majira ya saa 5.00 asubuhi, nyumbani...