kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini kilichangia Wachungaji kupigwa 9-2 na Mapadri?

    Katika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha . Kiukweli wachungaji walizidiwa sana ,wachambizi wa JF nini kilipelekea hiki kipigo cha 9-2 ...
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, wakala wa mgombea kuingia na simu kwenye kituo Cha kupigia kura

    Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo. Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Iran wamejitafutia matatizo

    Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa. Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania June 23 TEHRAN kupigwa pigo takatifu, Kitabu cha Esther tarehe 23 kwa kalenda ya Kiyahudi

    23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu : Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  8. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Fainali Sasa rasmi kupigwa Kwa mkapa

    CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025 JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa
  14. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Fainal CCC kupigwa Zanzibar

    Fainali ya CAF CC itapigwa Zanzibar, CAF wameindikia barua TFF & Simba kuwajulisha. CAF haijaridhishwa na pitch ya kwa mkapa hasa wakati wa mvua.
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ni watetezi wa wapalestina ila wanafurahi kupigwa Kwa wanachadema!

    Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu. Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mechi ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa Mei 10, 2025

  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Yanga kupigwa Mei 10, 2025

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya kweli. Tazama hapa ==== Taarifa rasmi
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
Back
Top Bottom