Mwanaume kupigwa na mke wake ni uzembe wa hali ya juu

Daydream

Member
Oct 26, 2023
58
328
Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi

Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda nataka nimtongoze lakini je nikishamuoa na akawa mke wangu je nitaweza kumudu kupambana nae pindi ukitokea mtafaruku baina yangu na yeye au atanipiga mpaka nichakae

Kumekua na kesi nyingi sana za baadhi ya wanaume kupigwa na wake zao na wengine wanaona hata aibu kutoka hadharani na kusema kwamba wamepigwa na wake zao na badala yake wanaugulia maumivu ndani kwa ndani.

Wewe mwanaume unaona kabisa mwili wako ni mwembamba na huna mazoezi lakini unaenda kuoa mwanamke mnene kama Simtank ambapo mwili wako kwake unaingia karibu mara tatu huwazi kwamba siku mkizinguana itakuaje

Binafsi naona baadhi yetu wanaume huwa tunafanya uzembe sana katika kuchagua wenzi wetu wa maisha

Sikatai kuna baadhi ya wanawake wananenepa zaidi wakishaingia kwenye ndoa lakini pia kuna wanaoolewa wakiwa tayari ni vibonge kama Simtank

Huu ni uzembe wa hali juu ndomana wanachapika na wake zao

Je wewe mdau wa JF upi mtazamo wako juu ya hili ?
 
kwaiyo Vibonge wanatoa vichapo sana
 
kikanunu huwa ni marufuku kuripoti polisi,

cozi ikijulikana piblicly ni fedheha kwako maisha yako yote....

bora akupigie chmbani mtu mwingine hajaona
 
Acha wapigwe tu vichwa vyao vikae sawa mwanaume gani anakuwa mzubaifu, akiwa na mkewe hata kumgusa kidole mkewe anaogopa, acha wapigwe tu.
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

download-1.jpg
download.jpg

Cc: Mahondaw
 
Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi

Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda nataka nimtongoze lakini je nikishamuoa na akawa mke wangu je nitaweza kumudu kupambana nae pindi ukitokea mtafaruku baina yangu na yeye au atanipiga mpaka nichakae

Kumekua na kesi nyingi sana za baadhi ya wanaume kupigwa na wake zao na wengine wanaona hata aibu kutoka hadharani na kusema kwamba wamepigwa na wake zao na badala yake wanaugulia maumivu ndani kwa ndani.

Wewe mwanaume unaona kabisa mwili wako ni mwembamba na huna mazoezi lakini unaenda kuoa mwanamke mnene kama Simtank ambapo mwili wako kwake unaingia karibu mara tatu huwazi kwamba siku mkizinguana itakuaje

Binafsi naona baadhi yetu wanaume huwa tunafanya uzembe sana katika kuchagua wenzi wetu wa maisha

Sikatai kuna baadhi ya wanawake wananenepa zaidi wakishaingia kwenye ndoa lakini pia kuna wanaoolewa wakiwa tayari ni vibonge kama Simtank

Huu ni uzembe wa hali juu ndomana wanachapika na wake zao

Je wewe mdau wa JF upi mtazamo wako juu ya hili ?
Ikitokea nimepigwa na mwanamke najinyonga kwenye muembe
 
Back
Top Bottom