kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tujadili; Mwanaume kamili unaruhusuje kupigwa na mkeo/mpenzi wako

    Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?! Naona ni kitu cha kushangaza sana.
  3. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Sababu Za Iran Kupigwa Tayari Zimepatikana Sasa Ni Suala La Muda;

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoipinga CCM hutishiwa kubakwa,kulawitiwa,kuuawa au kupigwa?

    Miaka nenda miaka rudi CHADEMA imekuwa ikibagazwa kwa kila staili lakini sijawahi kusikia kuwa mtu yeyote akitishiwa kuuawa au kuteswa kwa namna yoyote ile na watu wa CHADEMA. Lakini ni jambo la kawaida kabisa kwa wana CCM kutishia kufanyia watu uovu watu hao wanapoikosoa CCM. Kwa nini wana...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wadai kuvamiwa na kupigwa na vijana kwa kukataa mila, Arusha

    Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Vijana wa jamii ya Kimaasai, dhidi ya Wachungaji wa Makanisa ya Kipentekoste, Wake zao na...
  7. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

    Nimeumia sana ndani ya moyo wangu. Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu. Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Mwigulu Nchemba ameanza kupigwa fitina kwasababu siyo Mkatoliki

    Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
  9. curie

    JamiiForums Tanzania Siku ccm walishindwa kusoma alama za nyakati na kupigwa chini.HAAMINI

    Bado hamshtuki kuwa @ChademaTZ2 ya sasa haina followers Bali diehards Bado mnaamini mbinu za kamata kamata bambikia kesi zitakuwa suluhisho ?
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali yapokea msaada wa magari mawili kutoka Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja nchini

    𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini. Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
  11. Teslarati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  13. M

    JamiiForums Tanzania THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  16. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

    Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili. Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kura ya Awali kupigwa Oktoba 28, 2025 Zanzibar

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani. Akizungumza leo Agosti 18, Mwenyekiti wa ZEC Jaji George J. Kazi amesema kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 34(3) na (4)...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  19. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
Back
Top Bottom