mabaharia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Ujio wa chanjo ya UKIMWI ni habari njema kwa wazinzi. Rwanda kupewa chanjo ya Ukimwi

    hii inabidi pia tz ipewe ========== Rwanda imejumuishwa miongoni mwa Mataifa 12 mapya yatakayofaidika na ufadhili wa Serikali ya Marekani unaolenga kuongeza upatikanaji wa dawa ya sindano ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU), dawa inayojulikana kama Lenacapavir. Ufadhili huo...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mabaharia: mission failed!

    Wana wakiwa hawana uwezo wa kupata vibali vya kuingia spain wakabuni mbinu za aina yake ili waingie Spain bure.. Wakaji coumaflage kama mikondoo wakatiwa kwenye container wakasafirishwa Kufika mpakani dili likabuka baada ya kuswagwa kwa viboko walie kama kondoo wakalia kama watu😂 Je kama ni...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wana mambo mengi, katika uchumba hawezi kukuambia yote, wiki moja baada ya ndoa ndio anakuambia "bebi mimi na mtoto"

    Kwa karne hii mdada ambae anaolewa, lets say at 26, aliyoyafanya katika umri wa 14 - 25, ni malaika wake pekee ndio wanajua na kusitika. Vijana wa kiume tuseme anaoa at 30, ailyoyafanya katika umri wa 16-29 ni siri yake mwenyewe. Point yangu kubwa ni kuwa kuna mambo mengi katika ujana wa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  6. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Hawa mabaharia tokea kitambo wapo

    Nchi haijapata Uhuru,watu wanaiba. min -me Chaliifrancisco hydroxo
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya mabaharia wengine hapa bongo ningependa kumpongeza huyu bibie

    Sio mtu unakuwa mpiga vizinga tu muda wote hadi hela ya kununua stick za meno unaomba 😁😁, muda mwingine mnafunguka dada zetu.
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  9. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mabaharia! Umeona manzi umeizimia! Kimwonekano unaona kuimudu ni mziki mnene! Kuweka heshima ya baharia unafanyaje?

    Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mabaharia wote wahamishwa kutoka meli iliyopigwa na Houthi

    Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji. Awali baharia mmoja alipotea baada ya shambulio hilo wakati ambapo meli za kivita za Marekani zilijaribu kuzima moto...
  11. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri. Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kunyanduana ukiandaliwa na mwanamke una mvuto na vibes zaidi na kukonga nyoyo kuliko kumbe zetu sisi mabaharia

    Amani ya Mungu iwe nanyi. Ebana kuna kamanzi/kadada kammoja kameibuka huku mitandaoni anaelekeza namna ya kunyandua ndizi na apple ni mkali balaa, ana vionio kama vyote wenye video ya visa mafunzo vya ndizi na apple atupashe madesa, simbi na vizenga tafadhari. Ni hayo kwa uchache tu...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli nyengine ya US yakaribia kuzama baada ya kupigwa na Houth na kuua mabaharia 2

    Meli kubwa sana ya mizigo iliyosajiliwa Liberia na kupeperusha bendera ya Barbados imepigwa na kombora la Houth na kusababisha mripuko mkubwa pamoja na vifo vya mabaharia wawili. Mabaharia wengine 6 waka hali mbaya huku meli za kivita za washirika wakiizunguka meli hiyo kuangalia namna ya...
  14. the say

    JamiiForums Tanzania Mabaharia hapa tuna solve vp?

  15. The only

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria za mabaharia kwenye utu ubadi

    1. Kamwe usilale kwa mwanamke ambae hujamlipia ww hiyo nyumba kodi 2. Kamwe usimuachie shahawa nguo yoyote au kitambaa 3. Kamwe usitambulishe pisi ndugu yako yoyote ruksa tu kama naye baharia mwenzetu 4. Ukishindwa kumla ndani ya weekend mbili futa namba block. 5. Usitoke out na pisi kwenda...
  16. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Member wa JF Nanamucho aache dharau kama vipi anikutanishe na hayo madanga yake ajue uwezo wetu kipesa mfano mimi baharia Mkataa NDOA maarufu.

    Hello family, 👇👇👇 Natuma salamu kwa huyu member mwenye picha yenye nyashi a.k.a Nanamucho amefanye dharau eti sisi wadau humu hatuna pesa, sasa natoa ofa kwake na mabasha wake nikutane nao sehemu bill ntalipa mimi, dharau za kijinga afanye huko kijijini kwao. Mfikishieni taarifa weekend hii ya...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

    Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo. Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu, Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
  20. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti Mabaharia ambao huwa mnafeli kupata namba za Warembo huwa Mnafeli wapi?

    Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi. Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao wamechill Chini ya mnazi wanawaza mambo yao, mbele yangu wanapita wadada watatu wa kizungu wanafurahia...
Back
Top Bottom