asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Gazeti la "BONGO FLAVA" "CELEBRITY" na " ASUBUHI NEWS" ni Mali ya Mkurugenzi wa C-C Digital Pro, Bw. Civilian-Coin

    Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni binafsi ya C-C Digital Pro ndio huratibu Kila kitu online Chini ya Mkurugenzi na Chief Editor wake...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinauma kama tangu asubuhi umeuza elfu 30 tu, alafu nje ya duka lako jamaa kapaki hilux number E (Tsh 70m+). Hivi mnapataje pesa wakuu?

    Simtufundishe tulishe familia zetu na tukimbie aibu ya ukata
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania Twitter/X asubuhi ni kama kanisa.

    Asubuhi ukiingia Twitter/X kila Mtanzania aliyepo huko ameposti Tweet ya maombi kushukuru mungu kuamka salama, maombi au sala ya kuomba kwa kwa ajili ya siku mpya, nukuu za maandiko ya Biblia na tweets za kuwaambia watu wamshukuru mungu au tunaanza na mungu.
  4. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  5. S

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini. La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asubuhi kuna karibia

    Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma. Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa kuomba kwa habaro ya Nchi. Mtumishi wa Mungu Mwl Mwakasege alitufundisha faida 7 za kuombea nchi na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA ASUBUHI: kwa sababu tu unaendana nao/navyo haimaanishi ndio stahili yako au ndio panakufaa/wanakufaa

    Sawa ni marafiki zako ila sio lazima uende nao. Sawa ni ndugu zako ila sio lazima uungane nao.
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazalendo Wanao Angalia TBC, Usikose Kuangalia Mambo Mazuri ya UDSM, UDOM, IGOABROAD na Mbolea ya FEMI Leo Saa 4:00 usiku na kesho saa 3:00 Asbh

    Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea https://www.jamiiforums.com/threads/live-from-uwanja-wa-dr-j-s-malecela-nzuguni-dodoma-kilele-cha-nane-nane-dodoma-kuchele.2460870/...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Morocco–Bunju hazipakii abiria asubuhi, zinaenda kuwachukua wa njiani, tunapata Usumbufu Mkubwa

    Nikiwakilisha Wakazi wenzangu wa Bunju Sokoni, naomba kuwasilisha kero kuhusu huduma ya usafiri wa daladala zinazofanya safari za Morocco hadi Bunju. Tatizo kubwa linajitokeza hasa nyakati za asubuhi ambapo daladala hizo zinapofika Bunju Sokoni, baadhi ya madereva na makonda huchukua risiti...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  13. mambo45

    JamiiForums Tanzania Ajali haina hodi.. siamini kilichotokea leo asubuhi

    Mi huwa naendesha gari ya shule frani iv iko maeneo ya kinyerezi leo katika mizunguko yangu ya kila siku bhna nikakutana na mwalimu mkuu nilivyo nishamaliza kuwafikisha wanafunzi nataka kupark gari. Akanambia toa gari kunasehmu nataka twende unisindikize tukaenda njiani akawa anani shawishi...
  14. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana 'Kelele' wakati wa Usiku na Asubuhi

    Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia. Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio. Napenda sana sehemu yenye ukimya. Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe. Sauti pekee inayonipa furaha...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Cha Asubuhi Kinahitaji Maandalizi?!!!

    Maana nimekuwa na kawaida ya kuvamia tu bila Maandalizi yoyote. Isitoshe asubuhi miwili kwa ujumla, hususani kinywa, unakuwa umechacha (umeusu (kama wanavyopenda kutumia neno hili kule kilwa)) hivyo naogopa Maandalizi yasije yakapelekea kuongea Bure mwishowe stimu ikakata. Wajuzi, wabobezi...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Umeichakata mbususu asubuhi hii?

    Kuichapa asubuhi, ni muhimu na ni nzuri kiafya. Hakuitaji maandalizi kwani mbususu inakuwa imejaa mafuta ya kutosha hivo ni mwendo wa kuteleza tu. Kabla ya kuanza hakikisha kwanza unampigisha mwenza wako msaki na mjuluba, kwani yale mate ya asubuhi ni dawa ya kurefusha na kunenepesha mjuluba...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

    Wakuu nipo barabarani muda huu, Ama kwa hakika maisha yamebadilika. School buses zipo busy kuchukua wanafunzi. Wazazi wanakwena makazini na watoto wao. This is pure madness, there is no control. Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu, No child at this hour , wanahitaji kupata...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  19. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uandishi wa magazeti nchini na mfumo wa magazeti ya Asubuhi News upi unafaa kuzingatiwa Tanzania

    Haya ndio magazeti ya Asubuhi News, nini Cha kujifunza.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Kongowe - Kibaha leo 12.03.26 ni mbaya sana

    Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi. Sereikali mko wapi? Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu? Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi? Wako wapi wakuu wa...
Back
Top Bottom