beki

Beki is a title of nobility used by the Mongols and other steppe societies in the Central Asia in the medieval period. The exact meaning of the title is disputed, although possibly meant "honored shaman", and while frequently used for noble women, some men also used the title.

View More On Wikipedia.org
  1. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania David Alaba beki wa Austria nusu mnigeria na mfilipino

    Aliyekuwa beki machachari wa Bayern Munich na Real Madrid na beki wa timu ya taifa ya Austria David Alaba baba yake ni Mnaigeria na mama yake ni Mfilipino. Wachezaji wengine asili ya Nigeria wanachezea timu za nchi za ulaya ni. Jamal Musiala. Ujerumani Karim Adeyemi. Ujerumani Michael Oliseh...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania wakamaria mpira ukimgusa beki kipindi goal linafungwa uka deflect inahesabika own goal au scored by kicking

    Ningependa kuleta mjadala kuhusu goal la kwanza kwenye mechi ya Haiti dhidi ya Scotland.Kwa maelezo ya tukio hilo, goli lilitokana na shot ya mchezaji wa Scotland john McGinn iliyopigwa kuelekea golini . Mpira ulikuwa unakwenda moja kwa moja golini, lakini ukamgonga mchezaji wa Haiti ambaye...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi za ndani kabisa Beki kisiki Bakari Mwamnyeto atakuwa uwanjani leo akiiongoza Yanga dhidi ya JKT kwenye

    Hizo ni taarifa za ndani kabisa
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

    Kuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema. Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa kawaida. Ila ni balaa. Kuna kipindi nilishuhudia hii kitu live kwa macho yangu. Ilikuwa kwa bro...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

    Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao...
  6. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Kamfukuza beki 3 kisa mumewe anamla, akajichanganya akaliwa na mtoto wake

    Mwanamke alihisi mmewe anatoka na house garl akamtorosha kimyakimya akalala kwa chumbani kwa hoise garl na kuchomoa taa usiku jamaa akaingia akamvua nguo akamla bao mbili wakalala hadi asubhi kulivyokucha akawasha taa ili amseme mmewe kwamba nimekufuma anacheki ni mwanae wa kiume🙄🙄🙄 KESI IKAWA...
  7. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

    😂🙌🤣
  8. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Toka Maghetoni twende viwanjani, toka utumwani tukabebe box

    Shalom shalom Kama ukapata fursa ya kwenda kufanya kazi ulaya, uarabuni au Amerika nenda haraka sana hata kama ni kazi ya beki 3 au kubeba box, mlinzi au store keeper, kusafisha vibibi nk, acha kazi yako ya halmshaur nenda. Beki 3 Saudi Arabia, Jordan, Oman, Dubai, Qatar UAE anamafanikio na...
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je beki zenu zilizozoea huruma ya Marefa Wa kibongo, zitaweza kumkaba huyu?!!

    Namuonea huruma Che Fondoh na Hamza kudadadakiii Huyu mwamba kufunga Kwake ni jambo la kawaida, Si mlizoea pira papatu papatu la Refa Sasa njooni Morocco Remember the Name Oussama Lamlaoui.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tuache unafki, Kuna wanawake ambao beki zinakaba ukiwakazia ?

    Nimekuwa nikipinga kuna dhana ya kwamba kuna wanawake ni wagumu a.k.a beki zinakaba Naamini shida huwa ipo kwa mwanaume mfano hana pesa, anawahi kukata tamaa, sio mcheshi, n.k.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  12. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kibwana Shomari ni beki Bora (kitasa haswa) Kuliko Israel Mwenda Hilo halipingiki

    Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC. Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

    Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT. Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana. Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu Hamza
  15. A

    JamiiForums Tanzania Beki wa Salford city Mtanzania HAJI MNOGA kuanza leo kwenye mechi dhidi ya Manchester city

    Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA. Mchezo utachezwa leo saa 2::45 usiku. Haji mnoga atakuwa mchezaji wa pili wa Kitanzania kucheza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kibwana Shomari bado ni beki mzuri na mbishi hasa

    Kibwana Shomari ni mtu bado wa maana sana alikosa kuaminika na Gamondi hili sijui lilitokeaje lakini ni beki anaejua vizuri majukumu yake uwanjani.. Nimemuona kwenye hizi mechi mbili huwezi amini kama ni mtu ambae hajapata nafasi ya kucheza kwa muda mrefu. Jamaa anajua kukaba anajua...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Magori bhana yaani unaacha Kumlaumu Beki Kelvin Kijiri kwa Kujifunga, Wewe kwa Kutuzuga jinsi mnavyoiharbu Simba SC umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara

    Nimetizama kiumakini kabisa Goli la Yanga SC na sijaona na sioni kwanini Poti wangu kutoka Mkoani Mara (Musoma) Crescentius Magori umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara. Magori ingekuwaje kama Kipa Camara asingeenda Kuupangua ule Mpira kwa Kusimama na Goli kuingia? Si ungemuua kabisa Kijana wa Watu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Beki Mwamnyeto kaitwa Taifa Stars kwa uwezo kweli alionao sasa au ni kuzidisha tu idadi ya Wachezaji wa Yanga na wawazidi wa Simba Kikosini?

    Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

    Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba. Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili. Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi wenzake wamejazana , dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara. Si ajabu ana...
Back
Top Bottom