afcon 2027

The 2025 Africa Cup of Nations, known in short as the 2025 AFCON or CAN 2025, is scheduled to be the 35th edition of the biennial African association football tournament organized by the Confederation of African Football. The tournament was supposed to be hosted in June-July 2025, however due to the formation of the expanded FIFA Club World Cup scheduled to be held in June-July 2025, the 2025 AFCON might be hosted in January-February 2026.
This edition of the tournament was supposed to be the 2nd to take place in the northern hemisphere summer since the 2019 edition to reduce scheduling conflicts with European club teams and competitions after the previous edition in 2023 was moved to January and February 2024 owing to the adverse summer weather conditions in Ivory Coast.Guinea was the set to be the original host of this edition of the tournament but CAF stripped it of hosting rights after affirming its inadequacy of hosting preparations. After a second bidding process, Morocco was given the hosting rights

View More On Wikipedia.org
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania CAF yaridhishwa na maandalizi ya moi kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yatakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda. Kauli hiyo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Arusha airport yajiweka tayari kwa AFCON 2027

    Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la maegesho ya magari likipanuliwa hadi takribani mita za mraba 15,000, hatua zinazoongeza uwezo wa uwanja...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yajipanga Kutwaa Ufunguzi na Fainali ya AFCON 2027

    Kenya imeonyesha matumaini makubwa ya kupewa nafasi ya kuandaa sherehe za ufunguzi na kufunga mashindano ya AFCON 2027, yatakayoandaliwa kwa pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania. Local Organising Committee (LOC), inayoongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye, imewaambia...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Watu wanaomzunguka Rais wanamuhujumu, tumeomba AFCON ifanyike hapa halafu mtu anasema kuna ugaidi!

    Wakili Peter Madeleka, amewashutumu baadhi ya wasaidizi na watu waliopo pembeni mwa Rais kwa kumhujumu kiongozi huyo wa nchi na kuingiza taifa kwenye hatari. Soma: Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON Madeleka amebainisha kuwa...
  6. Think2

    JamiiForums Tanzania Ugaidi na Usalama wa AFCON 2027: Je, Kauli za Serikali Zinakinzana?

    Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa No Reforms No Election, Sasa ni no reforms no Afcon 2027

    Wabishi mtaelewa baadae
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali. Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Taharuki za Kisiasa na Kijamii zinazojitokeza Tanzania zinaweza kuathirije fursa ya kuwa mwenyeji?

    Tanzania inaelekea kuandika historia kwa kuwa mmoja wa wenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Hii ni fursa kubwa kwa taifa, si tu katika sekta ya michezo bali pia katika uchumi, utalii, biashara na taswira ya nchi kimataifa. Michuano hiyo ni jukwaa linalokusanya mataifa...
  11. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda NWSC gets Shs14.24b for Hoima water project ahead of AFCON 2027

    National Water and Sewerage Corporation has signed off the Shs14.24 billion Hoima Emergency Water Supply implementation project aimed at improving and strengthening water infrastructure in Hoima City. According to Dr Silver Mugisha, managing director NWSC, the project which was signed off...
  12. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s Road To AFCON 2027

    The Raila Odinga International Stadium is nearing completion ahead of the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), where it is expected to serve as Kenya's flagship venue in the continental showpiece. Rising at the historic Jamhuri Grounds along Ngong Road, the 60,000-seat ultra-modern arena has...
  13. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s Security Preparedness For AFCON 2027 Through International Collaborations

    In recognition of the central role to be undertaken by the National Police Service in preparation for securing AFCON 2027, the DIG APS Mr. Gilbert Masengeli, CBS, OGW, SS participated in the "Securing 2026 UEFA Champions League Final Delivery and Legacy: International Observation Programme" at...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapangwa Kundi L na Nigeria, AFCON 2027

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limefanya droo rasmi ya upangaji wa makundi ya Kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepangwa katika Kundi L pamoja na timu za taifa za Nigeria, Madagascar na Guinea-Bissau. Katika droo...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania Government prioritizes AFCON 2027 and Miss World 2027 in new TZS 525 Billion Budget Plan

    The Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda, has requested TZS 525.32 billion as the ministry’s budget for the 2026/27 financial year to implement nine key priorities. Among these priorities are completing the rehabilitation, upgrading and construction of...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: AFCON 2027 huenda ikapelekwa South Africa

    Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi. **Tujiandae kwenda bondeni.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, Ulega asema Serikali imejipanga kuhakikisha inakamilika kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati, akisisitiza kuwa maandalizi ya miundombinu ni kipaumbele cha juu katika kuhakikisha Tanzania inakuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: AFCON 2027 tutawasuprise

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Tanzania ipo katika maandalizi makubwa na ya kipekee kuelekea mashindano ya AFCON 2027, akisisitiza kuwa maandalizi hayo hayajawahi kushuhudiwa hapo awali Nchini na kuwa Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bonnah Kamoli: Kuelekea AFCON 2027 Dar miundombinu ni mibovu sana, barabara zimeanza kujengwa 2019 hazijamalizika

    Akichangia hotuba ya Waziri Mkuu leo Aprili 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Segerea Bonnah Ladislaus Kamoli amesema kuelekea AFCON 2027 Tanzania inatarajia kupokea wageni lakini miundpmbinu ya Mkoa wa Dar es Salaam bado ni mibovu na hali ni mbaya sana Ameongeza kuwa kuna baadhi ya barabara imeanza...
Back
Top Bottom