Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki
Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa.
Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na...
Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF.
Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001?
Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya biashara ya World Trade Centre na Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Ulinzi (Pentagon)
Wengine...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii.
=====
"As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
Hali ya usalama Nairobi inaendelea kuwa mbaya. Video hii inayosambaa mitandaoni inaonyesha mwanamke akipokonywa simu mchana peupe kwenye barabara ya Thika Super highway. Vijana wawili wanaonekana wakimbana kwenye ukuta na kuondoka na simu yake.
Ni picha ya wazi ya jinsi uhalifu na vurugu...
Alitoa barua ya kustaff tar 25/9/2026 na kujipangia kuwa atajihuzuru tar.4/9/2026 sijajua alitaka afanye nini ofsni huo muda na nani na wapi ? Ili Hali ashaonyesha usaliti mkubwa kwa Taifa na kwa chama au naye hajui athari za aliyoyafanya? Au tuseme uchawi upo 🤣
Nadhani naye Bado hajui amefanya...
Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio.
Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu.
sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3.
1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana
Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa:
Katibu Mkuu wa CCM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
Balozi
Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi.
2. Muda wake ni...
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.
Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne...
Mario Balotelli ni mshambuliaji wa Italia mwenye asili ya Ghana, aliyezaliwa 12 Agosti 1990, nchini Italia. Alianza kujulikana akiwa na Inter Milan, ambako alishinda mataji kadhaa chini ya José Mourinho, kabla ya kuhamia Manchester City mwaka 2010.
Akiwa Manchester City, Balotelli anakumbukwa...
Kikosi cha Makomandoo wasomi wa IDF kiliingia katika eneo linalodhibitiwa na Magaidi wa Hamas kusini mwa Gaza mapema Jumatano na kumkamata Sabri Abd al-Aal, afisa mkuu wa polisi wa Hamas mwenye cheo cha Aqid, sawa na kanali.
Takriban saa saba usiku, kikosi cha takriban Makomandoo 15-20...
Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi kusimuliwa katika eneo hilo na ambayo, kwa mujibu wa simulizi za watu waliolifahamu tukio hilo, yaliibua...
Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi.
Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto) kujipoza machungu au wanaita comeback, kumbe wanailipia Yanga ada ya Seleman Mwalimu kwa Wydad.
Magori...
Kuna tukio limetokea Dodoma eneo la Chaduru, ambapo kijana aliyekuwa akijaribu kuiba kwenye duka la spare mkono wake ukanasa kwenye sehemu ya duka, na inaelezwa kwamba alikaa hivyo kwa zaidi ya masaa 8.
Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao hatuamini uchawi. Kwa hiyo sitaki kuanzia kwenye hitimisho...
Leo nimetimiza miaka 20 tangu tukio lilinishushia heshima linitokee hadi nikahama Kijiji.
Ilikuwa July 25, mwaka 2006 ambapo nilikumbwa na mkasa ambao sitoweza kuusahau.
Mara baada ya kumaliza form six nilirudi Kijijini kwetu na Kwa kipindi kile mtu aliyefika advanced Level pale Kijijini...
Habari zenu wakubwa
Nimetoka zangu job nimechk narudi home kupumzisha fuvu ili kuwaza kesho mambo yanaendaje
Nimepitia dukan kuchkua baadh ya vitu,kunadogo wakati me nafika dukani nilikuta anapimiwa unga muuzaji alipo maliza akampatia unga then akawa anani hudumia mimi sasa vitu vyangu...
Tukio la jana lisigeuzwe kuwa mtaji wa kuongeza mgawanyiko.
Kuna nyakati ambazo taifa hujaribiwa si kwa ukubwa wa tukio lililotokea bali kwa namna tunavyoamua kulitafsiri.
Tukio la jana linaweza kuonekana tofauti kwa watu tofauti.
Wapo watakaoona ni ishara ya uhuru wa maoni
wapo watakaoona...
AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE
Utangulizi
Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro.
Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.