Wapalestina 300,000 wameondoka Rafah, pameanza kupigwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,827
48,842
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama na watoto wameuawa....

Displaced Palestinians arrive in central Gaza after fleeing from the southern Gaza city of Rafah on Thursday, May 9, 2024.
Displaced Palestinians arrive in central Gaza after fleeing from the southern Gaza city of Rafah on Thursday, May 9, 2024. © Abdel Kareem Hana, AP

The Israeli military said on Saturday about 300,000 people have left eastern Rafah for the Al-Mawasi humanitarian area since it ordered an evacuation of the southern Gaza city on Monday.

The military has ordered Palestinians to leave more areas of eastern Rafah and the northern Gaza Strip as it pressed ahead with its fight against Hamas militants. Read our live blog to follow all the latest developments in the Israel-Hamas war.

brazaj
 
Hayo tutaona kama Israel atawashinda Hamas.

Sio rahisi kushinda HAMAS maana ni magaidi wa kiislamu wanaojificha ndani ya akina mama na watoto, aidha uchague kupiga carpet bombing ufyatue kila mtu halafu dunia ipige makelele au utumie mbinu wanayotumia Israel ya kujaribu kuchambua, tatizo huko kwenye kuchambua bado kuna akina mama na watoto humo.

Ningependa sana mfanye upuzi kama huo kwa Wachina au Warusi uone wale walivyo, mnapigwa moja kwa moja, waulize waislamu wa Chechnya kilichowakuta hadi wakajikuta wanaunga juhudi za Urusi.
 
We dogo Uislam unapaa kila kukicha ndio mfahamu hayo hio ni dini ya Mungu.

We baki unaota Hamasi atabaki hapo hapo Israel ndio itaondoka hapo.
 
Anza kutembea Duniani... Dunia hii kuna zaidi ya Dini 1000+ ukiwa Tanzania utahisi upo mwenyewe muislamu na mkristo
Na kila mtu anaamini kile anachokiamini..

Tatizo ninyi mafundisho yenu yamejaa chuki uuaji kwa wasio wa Dini yenu .. tofauti na Dini zingine

Na mlivyo wanafiki mjajitetea as if hamuujui ukweli.

Exposure ni muhimu sana
 
Inapendeza, wacha hao wanaotumika kama ngao kuwakinga magaidi waondoke, magaidi watandikwe vizuri sasa.

Huwezi kuua kila anayepita mbele yako halafu ukatae usiitwe jambazi, wewe ni jambazai na gaidi. Yeyote anayewatetea wale magaidi ni mwendawazimu.
 
Sio rahisi kushinda HAMAS maana ni magaidi wa kiislamu wanaojificha ndani ya akina mama na watoto, aidha uchague kupiga carpet bombing ufyatue kila mtu halafu dunia ipige makelele au utumie mbinu wanayotumia Israel ya kujaribu kuchambua, tatizo huko kwenye kuchambua bado kuna akina mama na watoto humo.

Ningependa sana mfanye upuzi kama huo kwa Wachina au Warusi uone wale walivyo, mnapigwa moja kwa moja, waulize waislamu wa Chechnya kilichowakuta hadi wakajikuta wanaunga juhudi za Urusi.
🤣🤣🤣wachina hawscheki na tumbili Mrusi ndo kabisaaa na india nao huwa hawachrki na waislam yaaan wao ni kata funia ukizingua wanazongua.
 
Wanaume hawaongei wanayoosha tu we endelea kupiga domo. Kule Putin Huku Hamas mtakubali tu
 
Attachments

  • Screenshot_20240511_190537_X.jpg
    Screenshot_20240511_190537_X.jpg
    269.2 KB · Views: 4
Anza kutembea Duniani... Dunia hii kuna zaidi ya Dini 1000+ ukiwa Tanzania utahisi upo mwenyewe muislamu na mkristo
Na kila mtu anaamini kile anachokiamini..

Tatizo ninyi mafundisho yenu yamejaa chuki uuaji kwa wasio wa Dini yenu .. tofauti na Dini zingine

Na mlivyo wanafiki mjajitetea as if hamuujui ukweli.

Exposure ni muhimu sana
Haha eti dini ziko nyingi haha ikiwa ukristo haujulikani nani kauleta, alowasiliana vipi na Mungu mpa akambiwa hio ndio dini yake.

Malaika gani alishusha ukristo na hizo dini unazo ongelea.

Dini ni Uislam tu ndio imeshushwa kwa Mtume Muhammad kwa njia ya Malaika JIBRIL
 
🤣🤣🤣wachina hawscheki na tumbili Mrusi ndo kabisaaa na india nao huwa hawachrki na waislam yaaan wao ni kata funia ukizingua wanazongua.
Kaulize Urusi Uislam unavyo piga hatua mpaa Putin kakiri, India Uislam hauguswi sehemu nyingi wanacho waonea waislam ni sehemu wapo idadi ndogo, kwanini hawasogei kule wanapo chinja ng'ombe we hujui India inasafirisha ng'ombe kuliko nchi yeyote ile duniani mbona wasisoge huko kuktaza miungu yao inachinjwa 😄

China hawezi kuwazuia Waislam wasiongezeke anajisumbua tu.

Nyie wakristo mnautia Uislam kila kukicha doa ndio kwanza unazidi kupaa.
 
Haha eti dini ziko nyingi haha ikiwa ukristo haujulikani nani kauleta, alowasiliana vipi na Mungu mpa akambiwa hio ndio dini yake.

Malaika gani alishusha ukristo na hizo dini unazo ongelea.

Dini ni Uislam tu ndio imeshushwa kwa Mtume Muhammad kwa njia ya Malaika JIBRIL
Mudi msanii tu kama wasanii wengine akina fundi selemala wa Galaliya

Hakuna Mungu aliyeshusha dini yoyote ile
 
We
Kaulize Urusi Uislam unavyo piga hatua mpaa Putin kakiri, India Uislam hauguswi sehemu nyingi wanacho waonea waislam ni sehemu wapo idadi ndogo, kwanini hawasogei kule wanapo chinja ng'ombe we hujui India inasafirisha ng'ombe kuliko nchi yeyote ile duniani mbona wasisoge huko kuktaza miungu yao inachinjwa 😄

China hawezi kuwazuia Waislam wasiongezeke anajisumbua tu.

Nyie wakristo mnautia Uislam kila kukicha doa ndio kwanza unazidi kupaa.
 
Anza kutembea Duniani... Dunia hii kuna zaidi ya Dini 1000+ ukiwa Tanzania utahisi upo mwenyewe muislamu na mkristo
Na kila mtu anaamini kile anachokiamini..

Tatizo ninyi mafundisho yenu yamejaa chuki uuaji kwa wasio wa Dini yenu .. tofauti na Dini zingine

Na mlivyo wanafiki mjajitetea as if hamuujui ukweli.

Exposure ni muhimu sana
Mtu exposure yake kafika buza, unategemea nini mkuu..
 
Wasipohama hatutaki kelele maana huko central Gaza ndipo kuna misaada huko rafah wamekatiwa.
 
Back
Top Bottom