balozi

Baloži (pronunciation ; German: Rollbusch) is a town of Latvia situated in the Ķekava municipality just 12 kilometres from the centre of Riga. In 2020, the city had a population of 6,829.
Baloži was founded soon after the Second World War; as a village at the time, it was developed for the nearby peat factory workers. The oldest part of the town is built in a Stalinist style. During the 1970s, territory of the village was expanded towards the A7 highway. During the 1980s this part was built as a modern residential district and called Titurga. In 1991 Baloži received town rights. After the Latvian administrative territorial reform of 2009, Baloži became part of Ķekava Municipality and thus became one of the few Latvian towns which are not municipal centres.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Duru: January Makamba kuteuliwa Balozi

    Taarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani kupunguza balozi zake Afrika zinazotoa visa

    Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya balozi zake barani Afrika zinazoshughulikia maombi ya visa, hatua inayotarajiwa kuongeza udhibiti kwa wanaotafuta vibali vya kuingia nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Associated Press (AP), mpango huo utaifanya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM Hatimaye yachukizwa na utekaji! Yaumizwa na yaliyotokea Oktoba 29, Balozi Migiro ateta na Kikeke

    28 May 2026 CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, Taifa linakutegemea katika hili

    Awamu ya Tano ya JIWE ulifanikiwa kuongea na Maseneta wa Marekani zaidi ya 20, na ukitaka uwakutanishe na JIWE, lakini JIWE akachomoa betri. Naamini hili linaloendelea kwako ni jepesi Sana kama Mshauri wa Namba 1 katika masuala ya Diplomasia. Tunakuomba uokoe Taifa katika hili, naamini wale...
  6. JamiiForums Tanzania RC Dkt. Batilda Burian aipongeza NEMC kupanda miti 2000 Tanga kuelekea maadhimisho ya miaka 40

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu. Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi awasili Algeria

    BALOZI MATINYI AWASILI ALGERIA Balozi Mobhare Matinyi amewasili jijini Algiers, Jumanne, tarehe 19 Mei, 2026, tayari kuanza majukumu ya kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria. Balozi Matinyi alilakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  8. JamiiForums Tanzania Nini kilimpata balozi Humpley Polepole?

    Salam zikufikie popote ulipo . Baada ya kumkumbuka Balozi Humpley polepole usingizi umekata ghafla,Kirjana huyu alikua ni mzalendo ,mpenda nchi yake na mtu mwenye kusema ukweli kwa lengo la kuisaidia nchi yake . Aliteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi badae Cuba wakati yuko Cuba...
  9. JamiiForums Tanzania TANZANIA KATIKATI YA DHORUBA YA KIJIOPOLITIKI: KAULI YA BALOZI MTEULE WA MAREKANI NI ONYO AU DIPLOMASIA YA MASLAHI?

    TANZANIA KATIKATI YA DHORUBA YA KIJIOPOLITIKI: KAULI YA BALOZI MTEULE WA MAREKANI NI ONYO AU DIPLOMASIA YA MASLAHI? “Karne hii mpya haitapiganiwa kwa mafuta pekee — itapiganiwa kwa madini, taarifa, na ushawishi wa kimkakati.” Kuna nyakati katika historia ambapo kauli moja ya kidiplomasia...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

    Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Balozi mtarajiwa wa Marekani Tanzania aongelea uchaguzi

    https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=1zvg40qWNAEird-_
  13. JamiiForums Tanzania Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

    Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉. Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Salam Abu Sharar Balozi wa Palestine atembelea Maktaba

  15. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu afanya mazungumzo na balozi wa Qatar nchini

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
  17. JamiiForums Tanzania Balozi Bwana: Aliyepigwa na raia wa Afrika Kusini, si Mtanzania

    Kufuatia kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana anayedaiwa kuwa Mtanzania akishambuliwa nchini Afrika Kusini, Balozi wa Tanzania nchini humo, James Bwana, amesema uchunguzi umebaini kuwa mtu huyo si raia wa Tanzania. Video hiyo, ambayo imekuwa ikisambazwa kwa wingi...
  18. JamiiForums Tanzania Balozi Kaganda atembelea ofisi za TPA nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan S. Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini Zimbabwe, Bi. Kulthum Boma. Ziara ya Mhe. Balozi Kaganda katika ofisi hizo ni sehemu ya hatua muhimu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Sweden amuaga Balozi Matinyi

    MFALME WA SWEDEN AMUAGA BALOZI MATINYI Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden, amemuaga aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Jumba la Kifalme jijini Stockholm, leo tarehe 19 Machi, 2026. Katika mazungumzo yao mafupi, viongozi hao...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…