Balozi Saidi Othman Yakub ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Comoro

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
IMG_20240413_170746_894.jpg


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huu unaanza mara moja.
 
Sawaaa.....Ukiwa kwenye system ujue umeula na familia yako, kunamtu alinambia Sokoine watoto wake wamejiajiri walaa hawajatamani uongozi...
Mpaka nlipojua balozi wa Tz pale Canada 🤣🤣🤣
Wanalala hoi tujiajiri jameni japo mgambo wanatutesa na mtaji shida 😭😭😭
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.

20240413_174459.jpg
20240413_174846.jpg
 
Ndiyo Tz yetu hiyo! Kuna zamu ya wale wa ijumaa, jumamosi na jumapili, Jambo la msingi ni kuvumiliana tu, ili ikifika zamu ya mwengine msianze kulalamika!
 
Ndiyo Tz yetu hiyo! Kuna zamu ya wale wa ijumaa, jumamosi na jumapili, Jambo la msingi ni kuvumiliana tu, ili ikifika zamu ya mwengine msianze kulalamika!
Kwani walipochaguwana watu Jumapili Kuna alisema kitu tatizo hapo huwa hamuoni
 
Kisiwa cha Comorro ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, how ????

Nijuze nielewe please!

2017 18 August
Uzinduzi wa Meli ya Biashara ya VILLE DE FOMBONI MOH 0022 inayotarajiwa kufanya biashara kati ya Mtwara na Comoro hapa Tanzania. Tukio hili limefanyika leo katika bandari ndogo ya Mtwara iliyoko karibu na Hotel ya Southern Cross, zamani ikiitwa Msemo Hotel ambapo Mgeni Rasmi ailikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda.


View: https://m.youtube.com/watch?v=NXPODTds1ac
 
2022 23 September

Serikali yatangaza fursa za biashara nchini Comoro


View: https://m.youtube.com/watch?v=DVqc68205Nc

Naibu Waziri wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewataka watanzania kuchangamkia fursa ya mahitaji ya mazao ya chakula nchini Comoro huku akieleza uhitaji wa taifa hilo wa tani elfu 10 hadi elfu 15 za mchele kila mwezi.Kigahe ameyasema hayo leo Ijumaa Septemba 23, 2022 jijini Dodoma alipozindua mkutano baina ya wataalamu wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara pamoja na Balozi wa Comoro nchini Tanzania, walipokutana kutafuta suluhu ya uhaba wa chakula nchini Comoro........
 
Back
Top Bottom