maongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR Mambo Jambo

    Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
  2. M

    Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

    Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations 2.Mitindo ya malezi, maana...
  3. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Nauza fenicha za ofisini zilizotumika 800,000 maongezi yapo

    Habari za leo! Ninauza fenicha za ofisini zilizotumika zipo katika hali nzuri sana: 1. Meza kubwa moja (imported) 2. Kiti kimoja cha ngozi cha kuzunguka 3. Viti viwili vya wageni (nimenunua mwezi Januari,2024) Fenicha zote hizi nauza kwa pamoja kama zilivyo sh 800,000 maongezi yapo Zinapatikana...
  4. abdi basho

    Nauza dagaa nyama, niko Tanga mjini. Bei ni Tsh. 7000 kwa kilo, maongezi yapo

    Habari karibuni sana, nauza dagaa nyama niko Tanga mjini 7000 kwa kilo moja maongezi yapo. Karibuni 0718755347.
  5. kmbwembwe

    Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  6. Martyr 360

    Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

    Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu. Ofcoz inakuwaga mziki sana kuanzisha maongezi kwenye mazingira kama haya, ningependa kwa mwenye trick atusaidie.
  7. Zekoddo

    Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  8. Teslarati

    BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

    Habarini wana jamvi. Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story. Ilikua hivi, miaka hio...
  9. B

    Leo baada ya mechi na Rivers United haya ndiyo yatakayokuwa maongezi ya Wana Yanga

    Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema: 1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby. 2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi waliitumia kujiandaa na mechi ya watani. 3) Wachezaji waliwadharau wapinzani (by Nabi) hivyo kupoteza...
  10. M

    Yanga kuchanika kwa jamvi siyo mwisho wa maongezi, 'overconfidence' imewamaliza leo

    Ni mechi ambayo Yanga waliingia kwa kujiamini sana, jambo ambalo ni sumu kwenye mpira wa miguu, wameanza mechi kwa taratibu sana uku wakipoteza ovyo mipira wakiwa wanaamini kwamba watafunga muda wowote. Wenzao wameingia kwa dhamira moja ya kupata magoli ili kuondoa unyonge wa miaka mingi, na...
  11. Selemani Sele

    Car4Sale Chaser for sale No AtQ mil 3 tu maongezi yapo

    Chaser hii service ipo vyema. Nauza kwa bei ya kistaarsbu 3mil tu
  12. Superbug

    Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  13. MK254

    Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

    Leo Urusi wanasema wako tayari kuzungumza na kukubaliana kuacha vita, hawa hawa supapawa waliompa Zelensky masaa 24 kuachia ngazi. Zelensky siku zote amekua akijaribu kuwabembeleza waache vita waingie kwenye mazungumzo, leo wanaita vyombo vya habari na kubadilisha kauli.....poleni sana kwa...
  14. kavulata

    Haji Manara punguza kuitaja Simba kwenye kila press na maongezi yako

    Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu kinachojirudiarudia kila wakati, hata harufu ya chooni inapotea puani kama utakaa chooni kwa muda...
  15. Elli

    Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

    Picha: Rais Samia alipokutana na Tundu Lissu nchini Ubelgiji LISSU AELEZA MAMBO SABA (7) ALIYOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA 1. Ajenda ilikuwa "hali ya siasa ya nchi yetu." mazungumzo yamechukua takribasi saa moja, na mojawapo ya mambo niliyozungumza nae ni juu ya mwenendo wa kesi ya Mbowe 2. Ajenda...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Tetesi: Tozo ya Muda wa Maongezi yaiva, kuipuliwa muda wowote na serikali ya Mama

    Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
  17. Mr Chromium

    Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

    Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza Akipga simu hataki kumaliza maongezi Hata ukimwambia umechoka hakuelewi kila muda sim ,text ukipitaa lisaa utakuta miscall 7 msg...
  18. mathsjery

    Inakuwa vipi unapokosea kwenye swala la ununuzi wa airtime/muda wa maongezi?

    Nimesikia unaweza kosea na kuunga/kutuma muda wa maongezi au kununua vocha ya bei kubwa sana mfano 100,000tshs, 1,000, 000 tshs n.k, je swala hili limewekewa utatuzi?, Maana kwa wengine inaweza kuwa ni kukosea, sasa basi, Endapo mtu alikosea kufanya ununuzi wa vifurushi, TTCL Customer Care ...
  19. S

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

    Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
Back
Top Bottom