ateuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Padri Prof. Emmanuel Wabanhu Ateuliwa Kuwa Makamu Mkuu Mpya Wa Chuo Kikuu Cha Mt Agustino Tanzania(SAUT)

    PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap, amemteua Padri Profesa Emmanuel...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026. Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Peter Mwasalyanda ateuliwa Mkurugenzi Mkuu TCRA, Jabir Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Unga

    Wakuu, Huyu baba nlikuwa simpendi jamaniiiiii, bora wamekiondoa, kila kitu cha digitali kwake ni kama haramu, mbwa kabisa!! YAH: UTEUZI NA KUPANGIWA KITUO BALOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kumpangia kituo Balozi. Kwa mujibu wa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya

    Wizara ya Afya Waziri ni Mheshimiwa Muhammad Omar Nchengerwa na Naibu Waziri wake ni Mheshimiwa Dkt. Florence George Samizi.
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Joel Nanauka ateuliwa kuwa Waziri wa Vijana

    Wizara ya vijana itakua chini ya ofisi ya Rais hivyo Nanauka hatokuwa na msaidizi
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Gamondi Ateuliwa Kocha Mkuu Taifa Stars, Hemed Moroko Atimuliwa

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu H. Ameir ateuliwa na CCM Ubunge Jimbo la Makunduchi

    WANU H. AMEIR ATEULIWA NA CCM UBUNGE JIMBO LA MAKUNDUCHI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Wanu Hafidh Ameir kugombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba 2025 Uteuzi huu ni sehemu ya...
  10. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania GE2025 MWL. Mbelwa Petro ateuliwa kuwa miongoni mwa wagombea Udiwani Kura za Maoni Kata ya Ruziba

    Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
  11. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania 🎉 LUBABA ATEULIWA TUZO ZA EAST AFRICA EXPO! 🌍🌱

    Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo yatakayofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 hadi 8 August 2025! 🏆🇹🇿 🙌 Mpigie kura kwa hatua hizi mbili: ✅...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia RAIS SAMIA Hasomi chochote anacholetewa Mezani, yeye ni kusaini tu , Aliyefukuzwa Ukurugenzi Arusha kwa Ufisadi, Ateuliwa Tabora !!

    Mnaona MTU wenu sasa anavyoendelea kadhihirisha kua Wanaomzunguka wanamchezesha kidalo Poo watakavyo nayeye anacheza ,huku wakimsifia Mamaa mamaaa unaupigaa unaupigaaa !!. Kuna mwaka alimtumbua Mkurugenzi wa Musoma Vijijin Bwana Panela Nitu Msongela , kwa Makosa ya Utumbuaji Fedha, Usimamizi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Padre Juvenalis Asantemungu Ateuliwa Kukaimu Chuo Kikuu cha SAUT

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria kwa mujibu wa Katiba ya Chuo cha SAUT ya Mwaka 2010, amemteua Padri Prof. Juvenalis Asantemungu kuwa...
  14. kiben10

    JamiiForums Tanzania Alloyce Nyanda ateuliwa kuwa Afisa Habari wa ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE

    Mtangazaji nguli wa medani za Siasa Ndg Aloyce Nyanda ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama cha ADC kuanzia leo ambapo uteuzi wake umeanza leo baanda ya Mwenyekiti wa Chama hicho cha Siansa MH. SHAABAN HAJI ITITU kumteua na Ndg ALLOYCE NYANDA, ameomba suala hilo la yeye kukubali ama kukukataa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mary Baine ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji Mpya wa Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF)

    03 Juni 2025, Pretoria — Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Barani Afrika (ATAF) lina furaha kutangaza uteuzi wa Bi. Mary Baine kuwa Katibu Mtendaji wake mpya, kuanzia tarehe 1 Julai 2025. Bi. Baine anachukua nafasi ya Bw. Logan Wort, ambaye ametumikia kama Katibu Mtendaji wa ATAF tangu kuanzishwa...
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 .
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Steven Muro ateuliwa kukaimu nafasi ya Meneja GPSA Tabora. Baada alikuwepo kutoa lugha ya matusi kwa wateja

    kiwa ni siku nne zimepita mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha kuagiza kuondolewa kwa Meneja wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) mkoa wa Tabora, Mayala Mburi kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Mkuu wa Mkoa na watumishi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu ambao walikwenda...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondoka Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze ajiunga na Ushirikiano wa Serikali Wazi (OGP)

    Ushirikiano wa Serikali ya Wazi (OGP) unafuraha kubwa kutangaza uteuzi wa Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Afrika Mashariki, kama Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa OGP. Eyakuze analeta uzoefu mkubwa katika masuala ya Serikali wazi, Uwazi, na Ushirikishwaji wa Wananchi barani Afrika na...
  19. Dabil

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba Uwayezu Francois Regis ateuliwa na Kagame kuwa katibu wizara ya michezo nchini Rwanda.

    Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo. Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
  20. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema wasema Mgombea wao ateuliwa kugombea CCM

    Wana Jamvi salama. Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa...
Back
Top Bottom