Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums, Machi 14, 2024

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938
Leo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart

Ujumbe wa Ubalozi umepata nafasi ya kukutana na Uongozi na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali za Taasisi ikiwa ni pamoja Programu 8 zinazotekelezwa na kujadiliana namna bora ya kuimarisha ushirikiano baina ya Ubalozi na JF

IMG_9772.JPEG

1005.png

1004.png

IMG_9760.JPEG

1001.png


 
Ukiwaona wapoleeee, ila nyuma ya Keyboard wanalisha ban.

All the best JF staff. Poleni na kazi.

Tunaomba na sisi member wa kawaida turuhusiwe kuja kutembelea HQ
 
Leo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart

Ujumbe wa Ubalozi umepata nafasi ya kukutana na Uongozi na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali
Yaani vibinti vidogo kabisa ndiyo huwa vinatupiga ban. Not fair aisee.

Ila mmependeza sana..big up!
 
Back
Top Bottom