nyaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zakaria Maseke

    Nani anatakiwa kusaini pleadings (nyaraka) za kwenda Mahakamani kwenye kesi ya madai?

    Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama yupo) au mtu yeyote ambaye ameruhusiwa na mhusika. Hata wakili peke yake anaweza kusaini kama tu...
  2. JanguKamaJangu

    Watu 30 wamekamatwa kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kujaribu kujipatia pesa za NSSF

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na maofisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Desemba 2023 hadi mwezi Aprili 2024 limewakamata watuhumiwa 30 kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali zinazohusiana na mfuko wa hifadhi ya jamii...
  3. Roving Journalist

    TCCIA Manyara yasema Ramadhani Rashid Msangi aliyehukumiwa kughushi nyaraka sio muajiriwa wao

    Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Mkoa wa Manyara (TCCIA Manyara) kimeeleza kuwa taarifa zilizosambaa mitandaoni zikimtaja mshauri wa biashara na mwajiriwa wa TCCIA Manyara, Ramadhani Rashid Msangi aliyehukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya shilingi 900,000 kwa kosa la...
  4. Miss Zomboko

    Manyara: Mshauri wa Wafanyabiashara TCCIA ahukumiwa kwa kughushi nyaraka za malipo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara imemhukumu Bw. RAMADHANI RASHID MSANGI ambaye ni Mshauri wa Wafanyabiashara mwajiriwa wa Chama cha wenye viwanda na kilimo Mkoa wa Manyara (Bussines consultant -TCCIA Manyara). Mshtakiwa ameamriwa kulipa faini kiasi cha shilingi 900,000/= au kwenda jela miaka...
  5. M

    Picha: Je Mfalme Charles amekosea kupokea nyaraka za Balozi Kairuki kwa mkono wa kushoto?

    Kitendo cha Mfalme wa Uingereza, Charles III, kupokea nyaraka za kujitambulisha kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki, jana kwa mkono wa kushoto kimeibua mjadala. Mfalme Charles, ambaye hutumia mkono wa kulia, amekosea kupokea kwa mkono wa kushoto?
  6. matunduizi

    Hii ndiyo sababu miaka michache ijayo zaidi ya 80% ya watu wa dini watakuwa atheists vificho bila kutoka makanisani na misikitini

    Sababu kubwa ni laana za kuwapa wanadamu wenzao nafasi ya au karibu na Mungu. Hii laana husababisha wahusika kutoridhika na matunzo ya Mungu wao. Hivyo kumkinai Mungu, kuwakinai wanaowafuata wakiujua ubinadamu wao na kugeukia atheism kama faraja mbadala. Yesu akija atakuta kundi hili kubwa...
  7. munguwetusote

    Nimetapeliwa ajira za wanaojifanya ni World Vision Tanzania

    Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu, wanajamvi wengi watapata elimu ambayo itaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine. Kumekuwa na...
  8. BARD AI

    Dar: Mtumishi wa Wizara ya Ardhi akutwa na hatia ya Matumizi mabaya ya Madaraka na Kughushi Nyaraka

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyetambulishwa kwa majina ya Melchiory Rutayuga Mukandala. Keshi hiyo iliyowasiliswa na Jamhuri kupitia Taasisi ya Kuzuia na...
  9. Roving Journalist

    NHIF: Msilete nyaraka za kughushi tutawafungia uanachama

    MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewaonya baadhi ya wanachama wake wanaojihusisha na udanganyifu hususan wakati wa kuongeza wategemezi kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi. Onyo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uanachama Bw. Christopher Mapunda wakati akizungumza na Yaliyojiri NHIF ambapo...
  10. Mohamed Said

    Nyaraka za Nangwanda Lawi Sijaona Moja ya Vielelezo Muhimu Vya Historia ya TAA na TANU

    NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA MOJA YA VIELELEZO MUHIMU VYA HISTORIA YA TAA NA TANU Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea kutoka kwa mtoto wa Lawi Sijaona, Sijali Sijaona, nyaraka moja baada ya nyingine, picha na wakati mwingine akiniandikia maelezo kunieleza yale ambayo siyajui kuhusu baba...
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Motu proprio ya Papa: Pango Hifadhi ya Nyaraka za Kitume Vatican!

    Katika barua kitume yenye mtindo wa Motu Proprio Baba Mtakatifu anafafanua jina jipya la Pango hifadhi la Nyakara za Kitume Vatican kuwa linashindwa kueleweka kutokana na uhusiano wa neno la siri na ambalo kwake linaonesha wazi uhusiano wa karibu kati ya Makao makuu ya Kitume na nyaraka zilizo...
  12. JanguKamaJangu

    Waziri Simbachawene: Saini feki za Katibu Mkuu UTUMISHI na TAMISEMI zinatumika kuhamisha watumishi vituo

    Serikali imebaini baadhi ya watumishi wa umma wanatumia njia za udanganyifu na nyaraka za kughushi mtandaoni, ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi pasipo kuridhiwa na mamlaka husika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema...
  13. Roving Journalist

    Waziri Gwajima: Mila ya kuwekeza mke akiwa tumboni inachochea ukatili wa kihisia

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 3, leo Agosti 31, 2023. Ratiba: Dua Hati za kuwasilisha Mezani Maswali Hoja za Serikali https://www.youtube.com/watch?v=Fs6MAOPxT6U WAZIRI GWAJIMA: MILA YA KUWEKEZA MKE AKIWA TUMBONI INACHOCHEA UKATILI WA KIHISIA Waziri wa...
  14. Nobunaga

    Nyaraka KKKT, TEC zilivyoibua mijadala mwaka 2018

    Tunakumbushana tuu, nyaraka hizi za haya mabaraza ya kidini yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Siyo KKKT,TEC ama BAKWATA wote hutoa nyaraka zinazozungumzia mambo mtambuka yanayogusa jamii. Na hizi nyaraka hazina muda maalumu wa kutolewa, ni muda wowote ambapo kunapokuwa na imbalance kati ya...
  15. JanguKamaJangu

    Ghana: Maafisa 27 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kuruhusu nyaraka bandia

    Watumishi hao wametuhumiwa kushiriki katika makosa mbalimbali yanayohusisha nyaraka bandia ikiwemo suala la kughushi visa. Kati ya waliosimamishwa Watumishi watatu ni wazoefu wakati 24 ni Maafisa wa ngazi za chini, ambapo uchunguzi unaendelea dhidi yao. Kati ya wote waliosimamishwa kwa tuhuma...
  16. Zakaria Maseke

    Nani anaruhusiwa kisheria kusimamia kesi, kuandaa, kusaini na kuwasilisha nyaraka (documents) Mahakamani?

    Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi. 1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani? 2: Je, mtu ambaye sio Wakili anaweza kuandaa, kushuhudia na kusaini nyaraka (documents) za kisheria na...
  17. Lady Whistledown

    Kigoma: M/kiti wa Kitongoji hatiani kwa kughushi nyaraka ili kuuza eneo la uwekezaji

    Paul Simon Singi, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kisanda amehukumiwa kwenda jela Miaka 3 au kulipa faini ya Tsh. 750,000 kwa makosa ya kuomba rushwa ya Tsh. 800,000 na kughushi nyaraka kinyume cha Sheria. Alifanya uhalifu huo Mei 22, 2023 kwa lengo la kumhalalishia Fabiano Daudi umiliki wa Ardhi...
  18. JanguKamaJangu

    Marekani: Yaelezwa kuwa Donald Trump alificha nyaraka za siri bafuni

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake. Imeelezwa katika mashtaka 37 yanayomkabili ya kuficha nyaraka hizo katika mjengo wake uliopo Florida, baadhi ya nyaraka...
  19. Myebusi Mweusi

    Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
  20. benzemah

    Mahakama Yaungua na Nyaraka Zote Katavi

    Mahakama ya Mwanzo Shanwe iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi imeungua moto na nyaraka zote zilizokuwemo ndani yake kuteketea baada ya moto kuwaka Mahakamani hapo usiku wa kuamkia leo. Akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa...
Back
Top Bottom