Shalom Makamanda,
Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
Habari! Naomba kuwasilisha kero hii.
Mimi pamoja na wataalamu wenzangu wa maabara tulifanya mtihani wa leseni tangu mwezi wa tatu (March) mwaka huu lakini hadi hivi sasa matokea hayajatoka hali inayopelekea kutokupata leseni kwa wakati na tunashindwa kufanya maombi ya kazi kwa kuambiwa kuwa...
Anonymous
Thread
kero
kuhusu
leseni
maabara
mara
matokeo
media
msajili
mtihani
ofisi
ofisi ya msajili
sauti
social
social media
zaidi ya
Ni kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inazunguka ndani ya mtego uliowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya kuandikiwa tena barua ya ofisi hiyo ikitakiwa kujieleza kwa nini isisimamishiwe usajili kutokana na kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa.
Rungu hili la msajili...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026
"Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Babati mkoani Manyara, imetoa zuio la muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua zozote kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Amri ya zuio hilo la upande mmoja (ex parte temporary prohibitory) limetolewa Jumatatu Mei 25, 2026 na Jaji...
MY TAKE;
Msajili wa vyama vya Siasa, kaanza kuvitumia vile vyama vya mfukoni ili vimtetee..
Viongozi wa vyama vya siasa vilivyoundwa na CCM wanazidi kunenepa na kujenga Magorofa hata hela sijui wanatoa wapi
Chama cha National League for Democracy (NLD) kupitia kwa Doyo Hassan Doyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani .
Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi
Awe sheria sio viongozi wajinga...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa au Jeshi la Polisi, kwani mfumo wa nchi unaruhusu uwepo wa vyama vingi...
Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
Moja ya kundi lilolokuwa brain washed nchi hii ni Umoja wa Vijana wa CCM, nina hakika kwa 100% CCM wamefanya makusudi kwa hawa vijana kuhakikisha Idara hiyo inakuwa haina uwezo tena wa kuhoji wala kupinga, badala yake kupokea maelezo. Hili ni tatizo kubwa sana.
UVCCM ukifatilia mijadala yao...
Katika hali inayoibua hofu kuhusu mustakabali wa siasa za ushindani nchini Tanzania, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa usajili au kutozwa faini kwa madai ya kukiuka Sheria...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja.
Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
Si mnajitoa ufahamu? Mnaangushia Jumba bovu CHADEMA.
kifuteni haraka, wafungeni CHADEMA ,Mpenzi Mbowe chama Kwa lazima.
Alafu sasa Mtulie mfurahie hiyo Amani ya Matumbo na familia zenu.
Mnazidisha sana Hasira za Wananchi , DEC 9 mtaelewa tu mbona Ugaidi ni nini na Uhaini ni nini ...
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo.
Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.