kushoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania 😄 Yale yale ya wakajifanya Waroma kumbe watu wengine.Embu angalia kushoto na kulia nao ni wachungaji wakisimama na shikh mwaipopo.

    Kuna mambo yanazidi kuweka aibu na kutufanya kuwa channel ya vituko kwa wengine wanaotutazama. Hivi ushaona mchungaji mara nyingi wa KKKT wana kora kama hiyo upande wa kushoto. Huyu wa kulia sijui wamemkurupusha na visungura na koti la kuokota. 😄
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vichomi upande wa kushoto

    Habari Wakuu, nina tatizo la Vichomi upande wa Kushoto, nikikaa kwa mda mrefu sana, kichomi kinauma, nikilala au kupumzika vinaacha kuuma. Nilienda kupima nikaambiwa sina titizo, Sijui shida ni nini hapa?
  3. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  4. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  5. Atukuzwe Mungu

    JamiiForums Tanzania Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

    Korodani yangu upande wa kushoto ina kama kamba zimejisokota, nimeenda hospital kufanya ultrasound Dokta akasema nina varicocele, matibabu ya kufanyiwa operation ili kutoa huo msokoto. Hali hii imekuwa ikinipa usumbufu kama vile kuhisi joto kali kwenye korodani, miguu kusumbua kama nitasimama...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfg

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha...
  7. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kuhisi kama kuna kitu kizito kifuani upande wa kushoto

    Habari zenu vipendhy naomba msaaada kidogo kuna mdogo wangu wa kiume anasema anahisi kama kuna kitu kifuani upande wa kushoto huwa anakihisi ila hakiumi ni vile anahisi km kuna kitu na sio muda wote ni baadhi ya muda hlf presha yake ipo juu kdg ni 134/90 naomba maelekezo ushauri ili nione naenda...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Nurdin Kishki: Yanayoendelea nchini 90% yana msukumo wa upande wa kushoto

    Wakuu Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto. Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo kutoka wapi kati yao (waislam) ama upande wa kushoto, ambao nao pia wamesikika wakijibu kuwa ni upande...
  10. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii: Kicha changu kina pande kuu 3: Kulia Quran, Kushoto Bible, Dunia ipo katikati

    Hiyo kumaanisha kwamba, dini hizi 2 ndizo zinaibalance dunia na sote tunategemeana. Shaloom alley kum ndugu zanguni, muwe na jumapili njema.
  11. ngoshwe

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto

    Wakuu Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi vizuri. Nimepima vipimo vingi ikiwemo ECG na ECO lakini hakuna kilichoonekana na maumivu bado...
  12. amarina

    JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  13. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nini SIRI iliyojificha yenye 'Spiritual Power' ya Watu kadhaa kupenda Kuvaa Saa Mkono wa Kulia hata kama Wanaandikia Mkono wa Kulia?

    Wale mnaliojua hili au kilichojificha hapa mtuambie tafadhali kwani nasikia ina maana Kubwa mno kwa Nguvu za Juu.
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mabosi wengi wana bible/quran kwenye droo kushoto kulia wana power bank

    unaweza hisi n utani yaan hizi ofisi zina mengi sana kuna jamaa nilikwenda ofisin kwake nilipofika akaniomba kantolee kitu kwenye drw br kufika pale doh kushoto nkakutana na bamboo nkatoa alichontuma nkasema niangalie kulia sikutaka hata kuendelea zaidi lol wacha turidhike na madoggo...
  17. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

    Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu. Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side? Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini chanjo inachomwa mkono wa kushoto pekee

    Swali linajieleza wakuu kwanini chanjo mfano ya corona au nyingine hawachomi mkono wa kulia
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ijue tafsiri ya ndoto ya kuumwa Nge kwenye mkono wa kushoto

    Ni nini tafsiri ya kuumwa kwa nge katika ndoto Tafsiri ya ndoto kuhusu kuumwa kwa nge Inachukuliwa kuwa moja ya ndoto zinazosumbua sana kwa mwonaji, kwani ng'e ni mmoja wa wadudu ambao husababisha shida nyingi katika tukio la kuchomwa naye, kwani ni sumu na inaweza kusababisha kifo wakati...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

    Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
Back
Top Bottom