comoro

The Grand Comoro bulbul (Hypsipetes parvirostris) is a species of songbird in the bulbul family, Pycnonotidae.
It is found on the Comoro Islands.
Its natural habitat is subtropical or tropical moist montane forests. Until 2011, the Moheli bulbul was considered as a subspecies of the Grand Comoro bulbul. Alternative names for the Grand Comoro bulbul include the Comoro bulbul and Grand Comoro black bulbul.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Balozi Saidi Othman Yakub ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Comoro

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake. Uteuzi huu unaanza mara moja.
  2. F

    "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  3. GoldDhahabu

    Nini inaifanya Zanzibar iizidi Comoro kwa umaarufu?

    Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi. Kwa nini imekuwa hivyo? Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
  4. Roving Journalist

    Waziri Dkt. Tax akutana kwa Mazungumzo na Balozi wa Comoro

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya...
  5. Mmawia

    Asante Rais Samia, sisi wavuvi wa sangara na wafuaji sasa tutauza bidhaa zetu Comoro

    Mungu azidi kukubariki rais Samia kwa uamuzi sahihi wa kutuletea ndege ya mizigo. Sisi wafugaji na wavuvi wa sangara sasa ni muda wetu kuuza bidhaa zetu nje ya nchi kwa wakati. Umefanya jambo la maana sana kutukumbuka sisi walala hoi.
  6. L

    Naombeni msaada kwa anayefanya biashara Comoro

    Napenda kufanya biashara Comoros ya kupeleka mbuzi mwenye uzoefu wa hii biashara naomba msaada wake na biashara nyingne pia ambazo mtaji wake maximum M15, awe mzoefu anae kwenda kila siku.
  7. BARD AI

    Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

    Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi. Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
  8. Offshore Seamen

    Fursa usafirishaji wa bidhaa kwenda visiwa vya Comoro

    Biashara ya usafirishaji wa bidhaa Kati ya Tanzania kwenda visiwa vya Comoro umeendelea kuwa changamoto kutokana na uchache wa Vyombo na baadhi ya vyombo kutokidhi uwezo wa speed na uhitaji wa Mzigo kufika haraka. Mizigo inayotoka Tanzania kwenda Comoro ni Vyakula, Vinywaji,vifaa vya...
  9. khumbu_peresa

    Tetesi: ATCL yashindwa kutua Comoro na kurudi Dar es Salaam kufuatia hali mbaya ya hewa

    Habari wana Jamvi, Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa. Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea...
  10. WatesiWETU

    Comoro inafikikaje kutokea Tanzania?

    Habarini wana jamii.. Nilikuwa nataka kutembelea Comoro ili nijifunze mahitaji yakule nifaye itafiti kama naweza kuwa na supply biashara kule kisiwani kwao kutokea huku Dar es Salaam. Sasa najiuliza maswali kadhaa.. 1. Usafiri wakwenda kule unapatikana wapi? 2. Nauli inakuwa bei gani? 3. Je...
  11. Fursakibao

    Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    Habari GT, Nianze kwa kusema kuwa mimi sio muandishi mzuri ila nitajitahidi kuweka vitu katika mpangilio kwa kiasi chake. Kabla ya kuangalia baadhi ya fursa za biashara zilizoko Comores na changamoto zake, hebu tuangazie kidogob jamii ya watu wa huku katika nyanja za siasa, uchumi na jamii kwa...
  12. Uzalendo wa Kitanzania

    Dkt. Jakaya Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais Samia Kwenda Kwa Rais Wa Comoro

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yupo nchini Comoro na leo amekutana na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani na kumpatia Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassani.
Back
Top Bottom