balozi wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kmbwembwe

    Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  2. Erythrocyte

    Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN. Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
  3. Analogia Malenga

    Balozi wa Marekani: Demokrasia inabidi iangalie mazingira ya nchi

    Katika mkutano wa wadau wa Demokrasia ulioandaliwa na TCD, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle amesema demokrasia sio lazima ifanane kwa kila nchi, lazima kila demokrasia izingatie mazingira yake. Amesema demokrasia ya Tanzania, inabidi izingatie mazingira ya Tanzania, ifanane na...
  4. Lady Whistledown

    Raila kwa Balozi wa Marekani: Kenya Sio Koloni la Marekani, Funga Mdomo wako, jiepushe na Siasa za Kenya

    Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, amemjibu Balozi wa Marekani Mchini humo, Meghan Whitman, kuwa Kenya sio koloni la Marekani na kumtaka Whitman kujiepusha na siasa za Kenya, la si hivyo Watafanya mazungumzo ili arudishwe Marekani Hii ni Siku moja baada ya Whitman kusema...
  5. Mr Why

    Bunge la Kenya matatani na balozi wa Marekani kuhusiana na ushoga

    Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya...
  6. benzemah

    Rais Samia amegusa mioyo ya Wamarekani - Balozi wa Marekani, Tanzania

    Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
  7. B

    Abdulrahman Kinana uso kwa uso na Balozi wa Marekani nchini

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2023. Wamejadili masuala...
  8. Analogia Malenga

    Balozi Mpya wa Marekani nchini Tanzania akutana na Rais Samia

    Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle, leo amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Karibu sana Tanzania Balozi Battle! Wasifu Mnamo Agosti 20, 2021, Rais Biden alitangaza nia yake ya kumteua Dkt. Michael...
Back
Top Bottom