balozi

Baloži (pronunciation ; German: Rollbusch) is a town of Latvia situated in the Ķekava municipality just 12 kilometres from the centre of Riga. In 2020, the city had a population of 6,829.
Baloži was founded soon after the Second World War; as a village at the time, it was developed for the nearby peat factory workers. The oldest part of the town is built in a Stalinist style. During the 1970s, territory of the village was expanded towards the A7 highway. During the 1980s this part was built as a modern residential district and called Titurga. In 1991 Baloži received town rights. After the Latvian administrative territorial reform of 2009, Baloži became part of Ķekava Municipality and thus became one of the few Latvian towns which are not municipal centres.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Balozi mtarajiwa wa Marekani Tanzania aongelea uchaguzi

    https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=1zvg40qWNAEird-_
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

    Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉. Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Salam Abu Sharar Balozi wa Palestine atembelea Maktaba

  5. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu afanya mazungumzo na balozi wa Qatar nchini

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Balozi Bwana: Aliyepigwa na raia wa Afrika Kusini, si Mtanzania

    Kufuatia kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana anayedaiwa kuwa Mtanzania akishambuliwa nchini Afrika Kusini, Balozi wa Tanzania nchini humo, James Bwana, amesema uchunguzi umebaini kuwa mtu huyo si raia wa Tanzania. Video hiyo, ambayo imekuwa ikisambazwa kwa wingi...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Balozi Kaganda atembelea ofisi za TPA nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan S. Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini Zimbabwe, Bi. Kulthum Boma. Ziara ya Mhe. Balozi Kaganda katika ofisi hizo ni sehemu ya hatua muhimu...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Sweden amuaga Balozi Matinyi

    MFALME WA SWEDEN AMUAGA BALOZI MATINYI Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden, amemuaga aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Jumba la Kifalme jijini Stockholm, leo tarehe 19 Machi, 2026. Katika mazungumzo yao mafupi, viongozi hao...
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe, Balozi wa Tanzania Ufaransa, wajadili mikakati kuvutia Uwekezaji Bonde la Msimbazi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe.Ali Mwadini, kujadili mikakati ya kuvutia na kutafuta wawekezaji katika eneo la Bonde la Msimbazi lililopo jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi afuturu na Diaspora wa Sweden na kuwaaga

    BALOZI MATINYI AFUTURU NA DIASPORA WA SWEDEN NA KUWAAGA Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akitoa nasaha zake na kuwaaga Watanzania waishio nchini Sweden wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Ubalozi jijini Stockholm, Jumamosi, tarehe 7 Machi, 2026.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi CC Kaganda akutana na Balozi wa Ethiopia kujadili ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Mhe. Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe, Mhe. Rashid Mohammed Abdulwahid, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia. Katika...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Polepole yajazwa, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule apangiwa kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kuwapangia vituo mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, mabalozi waliopangiwa vituo ni kama ifuatavyo:- (i) Balozi Togolani Edriss Mavura...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Iran: Hatuna Mpango wa Kuishambulia Kenya...

    Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel. During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa USA Huckabee:''Raia wa marekani kateni tiketi kimbieni mapema israel kabla hamjachelewa

    Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema ''Haina haja ya kupanic kama mnataka kuondoka basi fanyeni mapema muondoke na msicheleweshe safari ''Popote mtakapo kuwepo Kateni tiketi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi akutana na Balozi wa Oman, wajadili masuala ya mafuta na gesi

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 17 Februari 2026, katika Ofisi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  20. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfg

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha...
Back
Top Bottom