jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ni zaidi ya jukwaa la mijadala—ni darasa la maarifa

    Ukipata muda wa kufuatilia mijadala mbalimbali humu ndani, unaweza kujifunza mambo mengi yanayohusu biashara, sheria, kilimo, teknolojia, afya, dini, historia na masuala mengi ya maisha. Mara nyingi utakutana na watu wenye uzoefu mkubwa ambao hushiriki maarifa yao bila malipo, jambo ambalo...
  2. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukata tamaa kuwa siingii JF tena halafu zikapita siku 3 au 4 ukarudi mwenyewe bila kuombwa?

    JF ni uwanja wa vita Unaweza ukaandikia wapi habari ndugu zangu Majibu utakayokutana nayo unaweza kusema JF imeruhusiwa pale milembe hosp. Anyway maisha yaendelee😁
  3. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania Kunani JamiiForums?

    Kuweni makini wakuu. Nimeanza kuona mauza uza kwenye account yangu ya JF, gafla inanitaka ni log in upya kuingiza details zangu. Isije ikiwa watu wa mfumo wanafanya surveillance. Nchi isha chachuka hii.
  4. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Raha ya JamiiForums si kushinda hoja... ni kuona watu wakizichapa kwa maneno

    Kuna aina mbili za watu humu JF. Kundi la kwanza linaingia kupambana. Lengo lao ni kushinda hoja, kuthibitisha wako sahihi na kumfanya mpinzani akubali. Halafu kuna kundi la pili... sisi. Sisi tunaingia, tunasoma mada, halafu tunaanza kufurahia comments. 😄 Mtu mmoja anakuja na takwimu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusiana na taarifa kuhusiana na Kituo cha Afya Kigamboni: Hatua zimechukuliwa, asanteni JamiiForums

    Hello wanajukwaa, Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nawaomba BBC DW ALJAHEZZERA NA CNN wafungue page zao JamiiForums

    Nayaomba mashirika haya yafungue page zao rasmi humu JamiiForums ili iwe rahisi sisi wananchi tuliotelekezwa na vipeperushi vya CCM tuteme nyongo. Naamini ujumbe huu utaenda viral kwenye mashirika hayo Mimi nitaanza na CNN ambayo ni rahisi kuifikia.
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JF: Wana JF tujifunze kuvumiliana pale tunapopishana mawazo. Tupinge hoja kwa hoja, tuache matusi

    Wanabodi Mwaka huu 2026, JF imetimiza miaka 20, kwanza nilishauri, wale wanachama waanzilishi wote wa jf waliojiunga mwaka 2006, wawe recognized, wapewe a token of appreciation, na kuingia kwenye tuzo ya 20Years of JF Hall of Fame, Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa...
  8. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania JamiiForums downtime - July 12, 2026

    Leo Julai 12, 2026 kulitokea changamoto kwenye miundombinu ya JamiiForums (hardware malfunction) na hivyo kupelekea kutopatikana kwa huduma kwa takribani saa 3. Hata hivyo, kasoro hiyo iliyoripotiwa na wadau ilifanyiwa kazi wataalamu wa JF na huduma kurejea kama kawaida.
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

    Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania KUFUNGA JAMIIFORUMS NI UPALALALAA WA KISHERIA: Why Gagging the Digital Public Square is a Monumental Failure of Public Policy

    Inakuwaje wazee wa udhibiti? Hebu tuongee uhalisia bila kuficha makucha hapa. Hivi mnafikiria kwa kutumia akili au mmeamua tu kufuata bureaucratic reflexes ambazo hazina mashiko kwenye karne hii ya 21? Kufungia JamiiForums sio tu kwamba ni ushamba wa kidijitali, bali ni constitutional overreach...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa ccm

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo Samia atosha tukutane2030
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums ipige life ban machawa wa CCM

    Nawataja wafuatao, wengine mtaongeza. Haya majinga yanaharibu hadhi ya JF, wengine tunakosa hata mood ya kuingia JF kwa sababu ya haya mapumbavu. Lucas Mwashambwa Stroke gallow bird MamaSamia2025 Tlaatlaah ChoiceVariable narogo MamaSamia2025 KERATO MOMBAA Dr wa Manesi Kizibao mdogoee Haya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa

    Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika ~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Nikiona hoja za Wananchi najibu, nilijibu moja kwa moja kwenye JamiiForums

    https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala na Uchunguzi wa Magonjwa ya Moyo na Kitabu cha safari ya Upandikizaji wa Moyo, leo...
  15. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Maxence Melo🎉🥳

    Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica 🎉🥳 Kwa niaba ya wana jamvii Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele Thank you for your great contribution and for keeping the JF community active and connected every day Mungu akuongezee hekima, strength na...
  16. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Wakuu, mmeona hiki nilichokiona? Je, JamiiForums na X (Twitter) zimefunguliwa rasmi?

    Wakuu, habari za majukumu. Naandika uzi huu kwa mshangao kidogo lakini na furaha kwa mbali. Kwa saa kadhaa sasa, nimejaribu kuingia hapa JamiiForums na kule X (zamani Twitter) bila kuwasha VPN na cha ajabu mambo yanajipa fasta! Kama mnavyojua, tumekuwa tukipata tabu sana na connection bila...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo Akutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera

    "Nilipata mwaliko wa kukutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, ambaye pia ni Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na kufanya mazungumzo naye jijini Dar Nimetekeleza wajibu wangu kuongelea eneo la digitali, uhuru wa maoni na hali wanayokumbana nayo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

    JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo. na Top 10 yangu ni hii: 1. Sister Abigail 2. ShesRise_1 3. shibela 4. win-one 5. Depal 6. Binti wa zamani 7. Seran 8. Lamomy 9. Leejay49 10. ephen_
  20. M

    JamiiForums Tanzania The JamiiForums Case: High Court Clears Way for Landmark Digital Rights Trial in Tanzania

    March 25, 2026 DODOMA, TANZANIA – In a major victory for digital freedom advocates across Africa, the High Court of Tanzania has dismissed a series of government attempts to block a constitutional challenge against the 90-day suspension of JamiiForums. The ruling, delivered on March 16, 2026...
Back
Top Bottom