Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake.
Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi.
Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje?
Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amebainisha kuwa mchakato wa uchaguzi na mfumo wa kisiasa umekuwa ukivurugwa mara kwa mara tangu mwaka 2019 hadi kufikia mwaka 2025.
Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala kuhsu Demokrasia na Katiba Mpya...
Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania. Anasema hakitumii vya kutosha. Bei ni $7.9 million (zaidi...
biashara
boss
kisiwa chake kilichopo ziwa tanganyika
kitima
kuuza kisiwa chake
matamko
mtanganyika
mwaka
nyaraka
sababu
timothy ‘tim’ cook draper
wakati
Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo
Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka
Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa.
Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi...
Leo TEC imekutana na Rais ikulu ya DODOMA
Tunaomba mrejesho,?
Naomba KUJUa Faza Kitima kama umemuuliza amili kesho mkuu mlinzi wa Raia na mali zao, walio taka kukuaau VYOMBO vyake vimefikia wapi?
Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote linaongozwa na "Code of Canon Law" ambapo Kanuni ya 287(2) inawakataza wakleri (mapadri na maaskofu)...
Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Diocese of Dar Es Salaam Tanzania, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J. Lodovick?
Na je,
water melon wa kanisa katoliki Tanzania, Wolfgang Pisa, O.F.M Cap, Bishop of Lindi...
Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo hakuna mawasiliano jambo linalofanya akienda kwenye ziara ni kama yupo gizani na kulazimika kulala...
“You need to be silent!” — Karoline Leavitt’s tweet targeting Pope Leo XIV backfired spectacularly when he read every single word live on television, capturing the nation’s attention and leaving the entire studio in absolute silence!!
When Karoline Leavitt accused Pope Leo XIV of being...
Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.
Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo...
Huwezi kumuelewa Padri Kitima kama bado hujakutana na Changamoto ya wasiojulikana mbali na mengine yote huyu Mzee ni hazina ya Taifa alindwe kwa wivu Mkubwa,, Japo ni mwiba kwa watawala ila ni alama ya msimamo juu ya uanaume na maamuzi magumu huitaji kutumia nguvu kubwa kama unafungua bolt za...
Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe
Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana
Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Wakuu,
Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo
Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.