siasa nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR Mambo Jambo

    Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
  2. Pascal Mayalla

    Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni...
  3. Stephano Mgendanyi

    Kawaida atuma Salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    KOMREDI KAWAIDA, ATUMA SALAMU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, ASISITIZA KUMLINDA RAIS SAMIA NI JUKUMU LA VIJANA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ametuma salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na kumtaka kuwachukulia hatua wale wote...
  4. Leakage

    SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora katika Siasa nchini Tanzania

    Utangulizi. Katika miaka ya hivi karibuni, suala la uwajibikaji na utawala bora limekuwa likichukua nafasi kubwa katika mijadala ya kisiasa nchini Tanzania. Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu kwa maendeleo endelevu na ustawi wa taifa lolote. Makala hii inalenga kuandika juu ya mambo...
  5. Kabende Msakila

    CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  6. J

    MNEC Mlao akitema cheche Misenyi, Kagera

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
  7. mama D

    Vyama vya Siasa nchini huu ndio wakati sahihi wa kutafuta ushindi wa kura za Uchaguzi wa Mkuu wa 2025, amkeni!

    Habari za asubuhi Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea. Hivi, viongozi wa vyama vya siasa pinzani mlishawahi kujiuliza ni nini kipya mnaweza ambia...
  8. Girland

    Uzalendo ni nini?

    Habari za Jumapili wananchi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya uzalendo. Tumekuwa tukisikia viongozi mbalimbali wakisisitiza wananchi kuwa wazalendo, na wakati mwingine wakilalamikia kinachoitwa "kupungua kwa uzalendo." Kwakuwa JF ni home of Great thinkers iwapendeze kunijibu, je...
  9. Dibwi Method

    Tatizo la maji

    Sababu kuu zinazopelekea shida ya maji inayoendelea Jijini Dar es Salaam na mikoa mingine hapa nchini, ni zao la Watangulizi wa Mama. Hii shida imekuwepo kwa muda mrefu sana, haijaanza mwaka jana mwezi April 2021, tusimnyooshee kidole SSH kwa sababu tu yeye ndiye aliye madarakani kwa sasa...
  10. BARD AI

    RIPOTI: Mapendekezo 19 ya Kikosi Kazi cha Rais Samia kuhusu uendeshaji Siasa nchini

    1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili: a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa mamlaka ya kuishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya...
Back
Top Bottom