Hatimaye barua imefika Ikulu kwa Rais kuhusu balozi mteule Jen. Patrick Nyamvuba wa Rwanda nchini Tanzania

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,841
Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika.

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu kwa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu Balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania Generali Patrick Nyamvumba imefika ikulu na kazi yangu imeishia hapa.

Hii Makala ilisambaa kwa Kasi sana mpaka nikawa naogopa, nimepokea pongezi nyingi na hakuna aliyenitukana wala kunibeza. Alhamdulillah Mungu ni mwema.

Nimefarijika na kujiona naweza kufanya jambo muhimu kwa maslahi mapana ya taifa langu. Wale maadui zangu nawashukuru kwa sababu mwaka huu ntasoma vitabu zaidi ya 120.

Mungu ni wetu sote. Mimi si lolote wala chochote bila wewe msomaji.

SIGNED BY LUGETE MUSSA LUGETE.
Mwanamajumui wa Afrika.

Pia soma:
 
umejuaje kama imefika ikulu
 
Aisee huyu Mrundi ana matatizo sana. Sasa analeta uzi ambao kwa ulivyokaa unaohitaji vielelezo (proof) lakini anakauka kama sio yeye vile.
 
Nani hapa anadhani Mama Samia yule anakosa usingizi kwa sababu ya balozi Nyamavuba ?

Kama mwanae Abduli biashara zake zinaendelea, na mikataba ya Waarabu iko salama, na yeye anakula maposho ya masafari na ma ankara ya Ikulu ambayo hayapitiwi na binadamu yeyote, na CCM anaona hakuna hofu ya kuchalenjiwa, na majeshi yanamuhakikishia anarudi kwa miaka mitano, na Wazanzibar wanaendelea kujazwa kwenye nafasi Tanganyika na Mitanganyika imeridhika inamuimbia nyimbo za kuabudu, SIDHANI KAMA SAMIA SULUHU HASSAN ANAJALI KINGINE CHOCHOTE CHINI YA JUA
 
Back
Top Bottom