msajili wa vyama

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Miss Zomboko

  Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini waahirishwa

  Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa wadau wengi zaidi kushiriki kikamilifu. Mkutano huo uliolenga kujadili maudhui ya utekelezaji wa...
 2. B

  Ubabe: Vyama, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Serikali Ukemewe

  Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa. Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba. Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya...
 3. H

  Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barau nyingine CHADEMA, ataka wajieleze

  Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu" Aidha Msajili...
 4. B

  Je, Msajili wa Vyama vya siasa alikaa lini na IGP akaambiwa kuna kikao?

  Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa? Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho? Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo? Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa...
 5. Erythrocyte

  Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

  Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
 6. Lituye

  Polisi na Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini hamkichukulii hatua CCM? Mnataka wamuue nani zaidi ndio mgundue Ugaidi wa CCM?

  Ni hivi karibuni tu mwanachama gaidi wa CCM bwana Hamza kutokana na ripoti za uchunguzi wa Polisi ameua Askari polisi wetu watatu na mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kujeruhi askari wengine na RAIA wema. Aliyekuwa mwenyekiti wa Vijana wa CCM bwana Kheri James alitamka hadharani kuwa Walimkosa...
 7. Kamanda Asiyechoka

  Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

  Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania. Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi. Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo. Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha...
 8. Bwana PGO

  Msajili wa Vyama vya Siasa adaiwa kumtaka Mnyika aandike barua ya maelezo kufuatia kauli aliyoitoa kuhusu Rais Samia

  Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania. Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
 9. S

  Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

  Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar). Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi. Suali Je...
 10. comte

  Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

  Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
 11. Melubo Letema

  BMT, Msajili wa Vyama vya Michezo Wamkingia Kifua John Bayo

  Kaimu Msajili (Abeli Odena) naye ni ndg yake John Bayo. Je haki ya kumchukulia hatua Bayo itatendeka? Wote wenye mamlaka ya kimaamuzi ni ndg zake akiwemo Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo na Kaimu Katibu Mkuu wa BMT Bi Neema Msitha. Wote hao wanafuata maelekezo ya ndg yao (Filbert Bayi)...
 12. Erythrocyte

  Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vya siasa

  Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
 13. Erythrocyte

  Mazungumzo kati ya Rais na Vyama vya siasa , Vyama vyaambiwa vipeleke ajenda zao kwa John Shibuda au kwa Msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi

  Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi . Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda...
Top Bottom