Brazil imemfukuza balozi wa Israel, na kumrudisha wa kwao kutoka Israel

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,997
32,438
Wanaukumbi.

Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.

Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.

Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake walimfokea na kumtolea kauli ya kalipio rais wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1759637758547534123?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Israel ni kisiki cha mpingu, pia ni jiwe la pembeni, rais wa Brazil hawezi kubadili chochote, Israel angesikiliza kelele za nje angekuwa ameshafutwa pale Middle East, Palestinians hawawezi kufanikiwa kwa kutumia watu wa nje, hamas ateke raia wa nchi na kuua then kakimbia kujificha kwenye makazi ya watu na kuwatumia kama ngao, Israel anajitetea kwa kuwasaka hamas kelele zimekuwa nyingi, Hamas ameua na kuteka mataifa kadha yakafanya maandamano ya kupongeza hamas, kwa vyovyote vile Israel inajua ilikubali kuwa mnyonge imeisha. Na kutarajia vita kubwa hapo middle East. Ipo siku moto utalipuka kati ya Israel vs Iran, ni vita ambayo itakuwa na madhara makubwa sana kwa pande zote 2 lakini vita hiyo haitachukua muda mrefu ni mwezi mmoja tu Iran watapoteana.
 
Umeamdika gazeti refu ulichoandika pumba tu Brazil hawaitaji kupangiwa cha kuongea hawataki kuwa wanafiki ndiyo maana wamefukuza balozi wa Israel kulinda heshimu ya nchi yao Israel ni nani anatakq kupangia kila nchi cha kuongea Waziri wa Israel mpuuzi mmoja anamwambia Rais wa Brazil aombe msamaha😂😂

Taifa lina watu milioni 216,422,446 liombe msamaha kwa wapuuzi wanapigana vita na watoto.

Baba yao Marekani hawezi kumuomba msamaha.
 
Umechelewa kupata taarifa
Israel ndo waliamua kumrudisha nyumbani balozi wao kutoka Brazil kufuatia Rais wa Brazil kufananisha kinachoendelea Gaza na kile alichofanya Hitler kwa Wayahudi.
Kwa hiyo sahihisha taarifa yako
Usilete ushabiki mandazi Israel walimuita balozi wa. brazil nakutoa kalipio kwake wakati yupo Israel na wakamwambia Rais wako aombe msamaha. JF siyo sehemu ya porojo weka hiyo taarifa unayosema.
Brazilian President Luiz Inacio Lula da Silva has recalled his ambassador to Israel for consultations, according to a column in newspaper Folha de S. Paulo published today.

The Brazilian ambassador was summoned by Israel’s foreign minister for a reprimand, following comments by Lula likening Israel’s war against Hamas in Gaza to the Holocaust.

Hivi kwa nini Waisrael weusi wa maeneo mbalimbali Makete. majimatitu, Ngudu, Rombo, wapo radhi hata kuongea uongo kuwatetea mabwana zao wa Tel Aviv kama huyu eti ananiambia nisahishe 🤣

Wanaukumbi.

Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.

Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.

Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake walimfokea na kumtolea kauli ya kalipio rais wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1759637758547534123?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kichapo kiendelee. Mwarabu hasikilizi kitu bila bastola
 
Wanaukumbi.

Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.

Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.

Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake walimfokea na kumtolea kauli ya kalipio rais wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1759637758547534123?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Safi sana hii inatusaidia sisi kupunguza athari za mauaji kule palestina na pia tunapata nguvu. Tunafanyia wapi sherehe? Tuitane tushangilie jambo hili la kutupa nguvu sana.
 
uharo. Mtupu.
 
Attachments

  • IMG_0550.jpeg
    IMG_0550.jpeg
    205.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom