brazil

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wholesale Sugar Exporters in Bulk: Your Premier Source from Tanzania & Brazil

    Wholesale Sugar exporters in bulk Wholesale Sugar Exporters in Bulk: Your Premier Source from Tanzania & Brazil Top wholesale sugar exporters in bulk from Tanzania. Eco Edge Company Limited offers premium quality, reliable supply, and competitive prices. Contact us! Eco Edge Company...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Brazil wamepiga marufuku online gambling/betting. Tanzania iige?

    Rais Lula wa Brazil amepiga marufuku kamari ya mtandaoni nchini Brazil siku kama nane kuelekea uchaguzi wa Rais. Madai ni kuepuka matatizo ya kiafya na kiuchumi? Tanzania nayo ipige marufuku online gambling kama kubet, aviator na online casinos?
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania FT: Brazil U-20 4-1 Tanzania U-20 | FIFA U-20 WOMEN’S WORLD CUP | Stadion Miejski, Bielsko Biała, Poland | 10:00 Jioni

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Historia Inaandikwa: Tanzania vs Brazil U-20 WWC

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Neymar Jr atangaza kustaafu kuichezea Brazil baada ya kuondoshwa Kombe la Dunia na Norway

    Neymar Jr ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa baada ya Brazil kutolewa kwenye Kombe la Dunia na Norway katika hatua ya 16 Bora. Hii ni mara ya kwanza Brazil kushindwa kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia tangu mwaka 1990. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 alifunga...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Brazil 1-2 Norway | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 5 Julai, 2026 |5:00 Usiku | Brazil yaaga mashindano

    Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia, Brazil national football team, watakutana na Norway national football team katika hatua ya 16 bora mjini New Jersey, huku Brazil wakipewa nafasi kubwa ya kutinga robo fainali licha ya kuonyeshwa upinzani mkali na Norway. Brazil walimaliza kileleni mwa Kundi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Brazil 2-1 Japan | World Cup 2026 | NRG Stadium | Juni 29, 2026 | 2:00 Usiku

    Unatarajiwa kuwa mchezo wa kuvutia zaidi katika hatua ya 32 bora kwenye Kombe la Dunia la 2026 unafanyika mjini Houston, ambapo mabingwa mara tano Brazil watachuana na Japan, timu ambayo haijawahi kushinda mchezo wowote wa hatua ya mtoano katika mashindano haya. Baada ya kiwango kisichoridhisha...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania FALSE Is this shows Brazil Vs Morocco 2026 World Cup highlight?

  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Brazil: Neymar kukosa Mechi zote za Makundi Kombe la Dunia, kurejea hatua ya Mtoano

    Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar Jr., hatarajiwi kurejea uwanjani hadi michuano ya Kombe la Dunia itakapofikia hatua ya mtoano. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 bado hajaanza mazoezi na kikosi chake kuelekea mchezo wa pili wa hatua ya makundi dhidi ya Haiti, huku akilazimika...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bwana Mdogo Ayyoub Bouaddi aliyewavuruga Viungo wa Brazil, Arsenal na PSG watajwa Vitani kusaka Saini yake!

    Kiungo fundi bwana mdogo wa miaka 18, Ayyoub Bouaddi, amezitikisa hisia za mashabiki wa soka ulimwenguni kufuatia kiwango bora cha kipekee alichokionesha kwenye mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Dunia (World Cup debut) dhidi ya miamba ya soka, Brazil katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1–1...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

    Salaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there. Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku. Katika hali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mademu wa Russia vs Brazil: Nani Wanaongoza Kwa Uzuri wa Asili?

    Jana tulibishana sana na washikaji zangu wanne kuhusu hii ishu watatu walikuwa upande wa Russia, na si watu wa kawaida wameishi na kusafiri katika nchi nyingi tu ulaya,Marekani,thailand ,mongolia n.k. Hoja yao ilikuwa kwamba Russia ina asilimia kubwa ya wanawake wazuri,matwiga,wako soft...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EPRA Hosts Brazilian Regulators for Benchmarking Trip Amid Mounting Fuel Scandal Pressure

    Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) is under growing scrutiny even as it hosts a high-level delegation from Brazil’s energy regulator, Brazilian Electrical Energy Regulatory Agency, for a benchmarking visit aimed at strengthening cooperation in the energy sector. The visit, led by...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu Igor Thiago ndiyo atakuwa main striker wa Brazil?

    Jamaa analijua goli? Goli 21 EPL akiwa na Brentford! Brazil wana striker bora zaidi ya huyu?
  17. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania NEMC yashiriki Mkutano wa UNFCCC Cop - 30 Brazil

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Mkutano wa thelathini wa nchi wanachama wa Mkataba wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC COP-30), unaoendelea jijini Bélem, nchini Brazil kuanzia tarehe 03/11/2025 na unatarajiwa kukamilika tarehe 21/11/2025. ‎...
  19. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Balile: Dunia nzima Mwendokasi ipo Tanzania na Brazil tu

    Wakuu nimekutana na hii video ya Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) akisema kuwa dunia nzima mwendokasi ipo Brazil na Tanzania tu. Hii imekaaje?
Back
Top Bottom