Mtazamo wa msanii Balozi juu ya muziki wa hip hop duniani

Feb 6, 2024
40
51
Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake wa mashairi yenye ujumbe wa maisha badala yake sasa wamejikita zaidi kibiashara.

Balozi aliyewahi kutamba na nyimbo nyingi amesema mabadiliko hayo pia yameathiri muziki wa Tanzania nao wamepoteza uhalisia wa muziki huo kwa kuangalia zaidi biashara badala ya kuandika ujumbe wa kubadilisha jamii kwa matukio kadha wa kadha.

“Muziki wa Hip Hop kwa sasa umebadirika mno kutokana na utandawazi na namna soko la muziki huo linavyotaka ndiyo maana wasanii wengi wanaandika mashairi mepesi yasiyo na ujumbe wa maana kwa jamii kama zamani siku hizi wamepungua mno,” alifafanua balozi.

Amesema soko la muziki kwa sasa duniani kote limebadilika lipo kibishara zaidi kuliko ujumbe ndiyo maana na Wamerakani nao wamebadilika kulingana na soko linavyotaka ingawa wamepoteza uhalisia wa muziki huo.

Ikumbukwe Balozi aliwahi kutamba na kundi la Diplomatz na kuwa kundi bora lar ap nchini Tanzania mwaka 1999

Ni msanii yupi ambaye amematain Gametoma Enzi hizo hadi sasa bila kuteleleka
WhatsApp-Image-2023-12-08-at-6.00.28-PM-1-500x470.jpeg
 
Wengi walikuwepo na sasahivi wako wapi?
Balozi bado niko, niko kwenye chat (natamba)


Hili jiwe Balozi alichanika sana

Yuko sahihi hip hop ya mbele sasa hivi ni commerci ila madogo wa miaka hii wanaimba ujinga sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom