Rais wa Marekani Donald Trump amesema utawala wake umefanya mazungumzo "mazuri sana" na Iran katika mazungumzo ya siku nzima yaliyofanyika Jana Agosti 2,2026, jambo lililoongeza matumaini kwamba mzozo uliodumu kwa miezi mitano unaweza kufikia mwisho hivi karibuni.
Trump amekuwa akitoa vitisho...
Zanzibar walifanya mazungumzo yao chini ya Wazanzibari.
Hakutakuwa na maridhiano ya Tanzania, hadi Watanganyika tutakapo ridhiana kwanza.
Wazanzibari lazima wajue ni wakati wa kurudi kwao, siku kadhaa zijazo itabidi tutumie kitabu cha Rwanda, kuidai Tanganyika.
Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa maridhiano na kuzungumza.
Katika mahojiano maalumu na TBC, Wasira amesema kuwa jambo hilo...
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia...
TAFAKURI.
Saba Saba ni Sherehe ya Kitaifa, Sio Siku ya Vurugu na Maandamano Haramu
Tarehe Saba mwezi wa Saba ni siku takatifu katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii ni siku ya Siku kuu ya Biashara ya Kimataifa ya NchiniTanzania, yenye chimbuko kubwa la kihistoria tangu...
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji.
Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...
KWANZA,
Iran inajua haiwezi kushinda vita hivi kwenye uwanja wa vita. Inaweza kushinda tu kwenye meza ya mazungumzo. Na kwa namna fulani, ndivyo hasa inavyoendelea.
Kwa wiki kadhaa, mistari nyekundu iliwekwa. Tarehe za mwisho ziliwekwa. Maonyo ya mwisho yalitolewa.
Kisha Iran ilifanya kile...
Maana yake yangemuachia Lissu, kwakua Lissu yeye anachotaka ni KATIBA MPYA NA TUME HURU ambayo ndani yake inajali Kila Lilo la HAKI.
Alafu wakamuita LISSU , wakakaa naye Meza Moja, "Bwanaee tunaendelea na mchakato wa KATIBA Mpya wa Jaji Warioba)
Tume huru ya UCHAGUZI Mpya kuanzia Muundo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho.
Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
Shirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani.
Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
Katika chapisho lake la pili kwenye mtandao wa Truth Social baada ya kutangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon, Rais wa Marekani Donald Trump amesema atawaalika viongozi wa nchi zote mbili jijini Washington kwa ajili ya mazungumzo.
"Nitawaalika Waziri Mkuu wa Israel...
Ndugu zangu Watanzania,
Gerezani hakunaga Ubabe hata Siku Moja, Gerezani ni Mahali pa Kurekebisha Tabia hata kwa mwenye Usugu na Nunda. Gerezani hakuzoeleki hata Siku Moja,Gerezani siyo kwa kuchezea ,Gerezani siyo Hoteli ya kitalii ,Gerezani siyo kwa kulilia ,Gerezani siyo kwa kuomba kwenda...
Kwa mara ya kwanza tangu ktk historia Rais wa Marekani amekuwa akiongea kila dakika.
Leo anazungumza hivi kesho hivi. Leo ameomba mazungumzo tena na Iran
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM
Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007
Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008)
Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.