Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,755
- 218,367
Nisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda.
Naomba majibu.
Naomba majibu.
Unaomba majibu kwa maana kwamba lissu hakutoa hayo majibu wakati anahojiwa.?Nisiwe na porojo nyingi , nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda
Naomba majibu
Anazidi kuweka mambo gani hadharani wakati mtoa mada bado ana maswali.?Lissu anazidi kuweka mambo hadharani.
Watu wa Ubalozi hawawezi kuongea waziwazi.Balozi huyo anapaswa kutoa majibu haraka iwezekanavyo.
Kama kweli alifukuzwa, kwa nini asingesema alifukuzwa kwa sababu za A.B.C?
ila tunajua aliitwa huko alipotoka- kwa Lugha na sababu za kidiplomasia- na hakuwahi kutamka ama kuashiria uwepo wa Uhalifu juu ya T.L. Itoshe, inavosikika alijihusisha na Ushoga. Anyways wacha na mimi nisiongezee kwenye njama hizi.
...lakini uwezekano aliingilia sehemu asizopaswa kuingilia.
Kwa maoni yangu, Lissu anaharibu uhusiano wa Kidiplomasia.
Ni kweli hawawezi kuongelea suala hilo hadharani.Watu wa Ubalozi hawawezi kuongea waziwazi.
Mara nyingi hata hawaambiwi sababu za kufukuzwa kwao ingawaje ni rahisi kuhisi.
Huyo balozi ana vyombo vya uchunguzi au alikuwa na hisia zake kama bavicha?Nisiwe na porojo nyingi , nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda
Naomba majibu
Huyo balozi ana vyombo vya uchunguzi au alikuwa na hisia zake kama bavicha?
Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.Ni kweli hawawezi kuongelea suala hilo hadharani.
Lakini, T.L ameamsha dude(stirring up diplomatic waters) na yanaweza kusaidia uhusiano wetu au kuuharibu. Yote yatetegemea na uzito wa suala hilo.
Kuna Uzito.
Tuone bwana January ata respond vipi au EU wata respond vipi.
Balozi anaweza, sambamba na Mh. Waziri ku 'clarify or refute' Tione!
Unaendeshwa na hisia za kisiasa na kuacha Mambo ya msingiLisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.
Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Kwaiyo lisu kupigwa risasi unahisi linaweza kuiongezea milage chadema?Unaendeshwa na hisia za kisiasa na kuacha Mambo ya msingi
Nyie ndo mnahisia mnahisi lisu Kila siku kulialia ndo kutamfanya apewe kura za huruma?Unaendeshwa na hisia za kisiasa na kuacha Mambo ya msingi
Hivi alikua makonda au ni umafia wa marehemu Lowassa ?
Haya sasa ndio mawazo yako, mada hatuzungumzii kura za huruma wala uchaguzi, wewe haya umeyatoa Wapi??Nyie ndo mnahisia mnahisi lisu Kila siku kulialia ndo kutamfanya apewe kula za huruma?