Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,580
17,686
Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania,

Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini..

Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano yaliyopangwa kufanyila Tarehe 24/01/2024
Screenshot_20240119_161755_X.jpg
 
Aliitwa kukatazwa kuandamana
Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..

Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
 
🤣🤣🤣
 
We mjane katafute mchepuko makasiriko yako HAYATUHUSU
 
Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania,

Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini..

Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano yaliyopangwa kufanyila Tarehe 24/01/2024
View attachment 2876549
nadhani amemueleza kwamba January 24 atachezea virungu kama mbwa Koko kwaihiyo wasifunge ubalozi kwasabb watakimbilia humo 🐒
 
Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..

Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
Polesana ,tulijisahau kwamba chadema inaweza toboa anga kimataifa baada ya kumaliza ndani
 
Back
Top Bottom