Search results

  1. U

    Kwanini Ahmed ally asiombe nauli CHADEMA, kwenda Misri

    Baada ya Club ya Simba kukasirishwa na kitendo Cha Serikali kuridhia Ombi la club ya Yanga la Kusafirisha Mashabiki wake 48 kwenda Pretoria Africa ya Kusini Kwa ajili ya mechi ya pili ya marudiano, Sasa imemtuma Msemaji wake Ahmed Ally kujitokeza Hadharani na kuikashifu waziwazi Serikali ya...
  2. U

    Kisugu, GB 64, Pasi Milioni na Mzaramo hawaikosoi Simba why? wamemzidi nguvu Ahmed Ally

    Hivi Simba ni Lini imewateua Hawa watu kuwa wasemaji wa Washabiki wa Simba, mana wao wamekuwa wakisifia Simba hata ikifungwa na na nguvu nyingi wameweka kuikosoa Yanga. Tofauti na Mashabiki wengine wa Simba , wasemaji Hawa wa mashabiki wa Simba , wamesema haya ni moja ya matokeo ya Mpira hivyo...
  3. U

    TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo. Maji hayo ambayo...
  4. U

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari. Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa lugha ya Magufuli, hili zoezi linafanyika kwakuwa mitambo ya uzalishaji umeme haijakamilika yote kama...
  5. U

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba. Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi. Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza...
  6. U

    Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    Napata shida sana baada ya kuhamishwa kikazi kuja dodoma nahitaji international school mkoa wa Dodoma , Kwa mnaojua nisaidieni nipeleke wanangu
  7. U

    Motsepe Rais wa CAF, ni boss wa Mamelod na rafiki wa Hersi, Mechi na Yanga QF haipo

    Mimi kama shabiki wa Soka na mfuatiliaji wa Ligi ya NBC, nimefurahi yanga kufuzu lakini na Simba Ina chance ya kufuzu 50/50. Kwa uwelewa wangu timu sita tayari zimeingia robo fainali, ikiwemo mamelod na Yanga na Al ahly. Ukiangalia Kwa upande wa Yanga timu ambayo inaweza kumsumbua robo fainali...
  8. U

    Kuchelewa kufungwa mashine, kutasababisha maji kufunguliwa bure Bwawa la Nyerere

    Mradi wa Bwawa la Nyerere tuliambiwa ungekamilika June 2022, lakini haikuwa hivyo. Hata hivyo mwezi wa 12/2022 bwawa la mwalimu nyerere lilianza kujazwa maji, ambapo Ili bwawa kujaa kabisa linapaswa kufikia Mita 184 kutoka usawa wa bahari. Kusua kusua Kwa mradi na kuchelewa Kwa kufungwa...
  9. U

    Kama Receipt nyingi za ATM salio ni chini ya laki 3, hizo deposit za 6T ni za nani

    Nimeona mambo ya uchumi wa nchi ya TANZANIA kuwa ni magumu, upinzani wanalalamika pesa hakuna, sasa kama kawaida yangu nimejaribu kufanya utafiti na kusample bank moja, nimekusanya receipt za watu katika ATM Zaidi ya 5 kwa muda wa siku kumi ,na nilipata Zaidi ya receipt 100. Cha ajabu na cha...
  10. U

    Tunasubiri 16.2.2024, Kero umeme kuisha, stiglers inawashwa

    Niseme kiukweli tupo kwenye majonzi mazito, misiba mbalimbali imetokea. lakini licha ya hayo bado kero ya umeme imezidi kushamiri na mfano mzuri nitukio la kukatika umeme pale karemjee wakati wakimuaga ndugu Lowasa. Serikali ya CCM ilituahidi kuwa kero ya umeme itaisha kuanzia tarehe 16-02-2024...
  11. U

    Nyimbo ya Harmonize ft Marekabi ni Nzuri , ila beat bado sana kufika level za Nigeria

    Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality. Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
  12. U

    Kwa wajuzi: Je, truck za Kamua na Nyumbani za TMK zilikuwa diss track Kwa Wana East coast

    Kulikuwa na bifu lililotikisa miaka ya mwanzoni ya 2000 kati ya TMK na east coast, kipindi hiko watoto wengi wa 2000 ndo walikuwa wakitungwa so hawajui lolote. Gk kupitia truck yake kali ya hii Leo alitoa diss nyingi huku, akidai pesa wanayo, wanavaa vizuri, hapa hipo, wanaendesha magari...
  13. U

    Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
  14. U

    Mvua nyingi, kwanini bwawa la Stiglers halijai

    Moja kati ya mabwawa makubwa kuwahi kutokea Africa mashariki, man made lake , the Stiglers Gorge dam, au bwawa la Mwalimu Nyerere au Ziwa Nyerere kutokana na ukubwa wake. Bwawa hili mpaka kujaa linatakiwa kufika MITA 186 kutoka usawa wa bahari, Cha ajabu pamoja na mageti kufungwa December 2022...
  15. U

    Mchambuzi Mbwaduke, Kila mchezaji anamsifia, hajawahi kukosoa

    Huyu ramadhani Mbwaduke ni moja kati ya wachambuzi waliojipatia sifa katika uchambuzi hasa eneo la takwimu. Mchambuzi huyu ni mzuri lakini ana mapungufu makubwa mno, kwanza hataki kabisa kuonekana ni shabiki wa timu Gani, japo Mimi najua. Na uchambuzi wake umejikita fair kabisa. Kutokana na...
  16. U

    Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

    Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja. Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka...
  17. U

    Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  18. U

    Huu uzushi kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na njaa ulitokea wapi?

    Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa kujikita kwenye mada hiyo. Kuna uzushi mkubwa Tanzania kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na...
  19. U

    Simba wamesahau mchezo wao na kuwalenga Yanga na Al Ahly tu. Kesho watarudi na "Try Mangungu aondoke!"

    Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama kawaida yao watarudi kwenye Media na kuanza kusema Mangungu aondoke, Try Again, Saido, Chama, Kapombe...
  20. U

    Why wadada wanajichubua sana, hasa Hawa waofanya biashara mbaya mitandaoni

    Siku hizi maadili yamevunjika kiasi kwamba sijui vijana wanaelekea wapi, Kuna wimbi la biashara za miili Kwa mabinti wa kike na jinsia nyingine zinazofanyika mitandaoni, hasa mitandao ya telegram , wasap, na web za hovyo ambazo serikali imefungia lakini watu bado wanatumia VPN. Hii imeenda...
Back
Top Bottom