Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua.

Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha emergency ukipiga simu ama hazipokelewi kabisa ama zipokelewe baada ya muda mrefu, pia suala la kuunganishiwa Umeme ndani ya siku saba nikonekti aliyoanzisha Maharage limekufa, huduma mbovu za TANESCO zimerudi. Nimekaa siku tatu hamna Umeme ukipiga simu hazipokelewi, wakati wa Maharage simu moja tu mambo waaah.
Maharage alizibiti mameneja kubaki vituoni kuhudumia wateja, Sasa mameneja wamerudi na tabia zao za kutokana ofisini.

Tutakukumbuka maharage
 
Ila Maharage naye akiwa TANESCO alilaumiwa mpaka basi....Leo anaonekana dhahabu.......Kweli umuhimu wa ulichokuwa nacho huonekana kikipotea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom